Zaidi ya Freeman Mbowe ni Kiongozi gani mwingine wa Upinzani ana Kipawa, Kipaji na Karama ya Uongozi wa Siasa?!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kimsingi Binadamu hafundishwi Uongozi bali anafundishwa jinsi ya Kutawala na Kusimamia

Uongozi ni Kipawa, Kipaji na Karama ambayo imewekwa ndani ya roho na Ubongo wa Watu wachache sana tuseme Wateule wa Mungu wa Mbinguni

Nimeona Kipawa Kipaji na Karama ndani ya Freeman Mbowe pekee katika viongozi wa Upinzani baada ya kutwaliwa kwa Maalim Seif ambaye alikuwa Kiongozi mwenye Kipawa Kipaji na Karama

Zaidi ya Mbowe huko Upinzani kuna Mtu mwingine yoyote ambaye tunaweza kumuita ni " Kiongozi" mbele ya Mungu wa Mbinguni na mbele ya Wanadamu?

Nimekaa pale 🐼
 
Yaani we jamaa huwa unakurupuka sana yaani ukisikia tu kitu kimesemwa tayari umekileta jF...uwe unachunguza kwanza yasemwayo kabla ya ku ropoka kwa watalaam km sisi...umbea na unafki tu unakusumbua..kuwashwa
 
Hahahahaaaaaaa

Huu ni utani wa ngumi…. Jamaa ni dalali tu Yule
 
Huyu jamaaa atalaaniwa kwa kueneza sumu ya lawama kwa vijana wa kitanzania
 
Yule aliekatiliwa kufundisha chuo kikuu kwa ajili ya ufaulu wake ila wakamakataa shauri ya mdomo mchafu angestahili awe ni zaidi ya Mbowe ila ndio hivyo tena ,mola hakupi kila kitu
 
Yaani we jamaa huwa unakurupuka sana yaani ukisikia tu kitu kimesemwa tayari umekileta jF...uwe unachunguza kwanza yasemwayo kabla ya ku ropoka kwa watalaam km sisi...umbea na unafki tu unakusumbua..kuwashwa
Huyo jamaa ana PhD ya unafiki
 
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/aFYxjUrR2dC3LvvD/
 
Write your reply...wapo ila hawatoshi. Ndiyo maana tunawatafuta na watapatikana mbona bado tunao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…