johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kimsingi Binadamu hafundishwi Uongozi bali anafundishwa jinsi ya Kutawala na Kusimamia
Uongozi ni Kipawa, Kipaji na Karama ambayo imewekwa ndani ya roho na Ubongo wa Watu wachache sana tuseme Wateule wa Mungu wa Mbinguni
Nimeona Kipawa Kipaji na Karama ndani ya Freeman Mbowe pekee katika viongozi wa Upinzani baada ya kutwaliwa kwa Maalim Seif ambaye alikuwa Kiongozi mwenye Kipawa Kipaji na Karama
Zaidi ya Mbowe huko Upinzani kuna Mtu mwingine yoyote ambaye tunaweza kumuita ni " Kiongozi" mbele ya Mungu wa Mbinguni na mbele ya Wanadamu?
Nimekaa pale 🐼