Na ndiye mwenyekiti ajaye wa Chadema.Huyo ndo TL ,tumuunge mkono awe mwenye kiti.
Hata mimi napenda sana kuangalia mahojiano ya Lissu, nafurahia namna anavyojibu maswali kwa ufafanuzi wa kina. Huwezi kubaki na maswali kwa anayoyaengelea.
Kuna mahojiano naona amefanya na BBC, nayatafutia muda mzuri...jamaa yuko very open, friendly, and genuine.
Waandishi wa habari wa Bongo hupenda kuhoji watu wapuuzi wapuuzi kama Pierre Liquid, Dk. Shika, Manara, Lissu, nk kwasababu Wabongo wengi wenye vichwa vyepesi hupenda vitu vya kipuuzi puuzi!..ucheshi na mizaha ya Tundu Lissu humfanya muandishi kujisikia huru kuuliza maswali.
..ukiacha hilo hakuna muandishi ambaye hutoka bila kujifunza jambo jipya toka kwa Tundu Lissu.
..Clouds walifanya mahojiano na Lissu mpaka wakaamua kuzidisha muda wa kipindi.
..fuatilia mahojiano hapa chini.
View: https://www.youtube.com/watch?v=ExjdX8ZPBwQ
Waandishi wa habari wa Bongo hupenda kuhoji watu wapuuzi wapuuzi kama Pierre Liquid, Dk. Shika, Manara, Lissu, nk kwasababu Wabongo wengi wenye vichwa vyepesi hupenda vitu vya kipuuzi puuzi!
Wahi matibabu kabla ya kufikia hatua mbaya zaidi.Waandishi wa habari wa Bongo hupenda kuhoji watu wapuuzi wapuuzi kama Pierre Liquid, Dk. Shika, Manara, Lissu, nk kwasababu Wabongo wengi wenye vichwa vyepesi hupenda vitu vya kipuuzi puuzi!
Ahahahahaha!!Wahi matibabu kabla ya kufikia hatua mbaya zaidi.
Kwa wenye akili timamu:
Vyombo vyote vya habari vikubwa Duniani, pia vimewahi kumhoji Lisu. Uwezo wake mkubwa wa kujenga hoja, kuelezea mambo kwa ufasaha na ukweli, unavifanya vyombo vya habari kuona ni mtu mwenye kuvutia wasikilizaji na watazamaji wengi.
..mimi nimetumia headphones nimesikia kila kitu.Video inatatizo la sauti.
Hii inasikika vizuri, kumbe nikipande kidogo tu. Ngoja nitafute headphones nimsikilize Anti corruption leader...mimi nimetumia headphones nimesikia kila kitu.
..pia kuna kipande kingine kidogo hapa.
View: https://www.youtube.com/watch?v=xi56ArhiZqE
Umeandika kitoto sana, kweli wewe ni mtoto wa shule.Waandishi wa habari wa Bongo hupenda kuhoji watu wapuuzi wapuuzi kama Pierre Liquid, Dk. Shika, Manara, Lissu, nk kwasababu Wabongo wengi wenye vichwa vyepesi hupenda vitu vya kipuuzi puuzi!
Ahahahahaha! Hard Talk ni TV Show ya Bongo? Hapo sasa nani kaandika kitoto! Ahahahahaha!!!Umeandika kitoto sana, kweli wewe ni mtoto wa shule.
Kumbuka kipindi cha Hard Talk pia kiliwahi kumuhoji Lisu.
Tundu Lissu akihutubia masaaa matatu unakuwa naye sekunde kwa sekunde hadi mwisho...ucheshi na mizaha ya Tundu Lissu humfanya muandishi kujisikia huru kuuliza maswali.
..ukiacha hilo hakuna muandishi ambaye hutoka bila kujifunza jambo jipya toka kwa Tundu Lissu.
..Clouds walifanya mahojiano na Lissu mpaka wakaamua kuzidisha muda wa kipindi.
..fuatilia mahojiano hapa chini.
View: https://www.youtube.com/watch?v=ExjdX8ZPBwQ
HatersWaandishi wa habari wa Bongo hupenda kuhoji watu wapuuzi wapuuzi kama Pierre Liquid, Dk. Shika, Manara, Lissu, nk kwasababu Wabongo wengi wenye vichwa vyepesi hupenda vitu vya kipuuzi puuzi!
Tundu Lissu akihutubia masaaa matatu unakuwa naye sekunde kwa sekunde hadi mwisho.
Hachoshi
Haters are everywhere dude. Even those against Mbowe are haters!Haters