Doctor Ngariba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2020
- 588
- 951
Bila kusahau style yake pekee ya uwasilishaji ambao humfanya hadhira asikilize neno kwa nenoHata mimi napenda sana kuangalia mahojiano ya Lissu, nafurahia namna anavyojibu maswali kwa ufafanuzi wa kina. Huwezi kubaki na maswali kwa anayoyaengelea.