Zaidi ya kuwa mkweli kupitiliza, Tundu Lissu ni mtu mcheshi, na mwenye mizaha. Wanahabari kufurahia kufanya naye mahojiano.

Zaidi ya kuwa mkweli kupitiliza, Tundu Lissu ni mtu mcheshi, na mwenye mizaha. Wanahabari kufurahia kufanya naye mahojiano.

..ucheshi na mizaha ya Tundu Lissu humfanya muandishi kujisikia huru kuuliza maswali.

..ukiacha hilo hakuna muandishi ambaye hutoka bila kujifunza jambo jipya toka kwa Tundu Lissu.

..Clouds walifanya mahojiano na Lissu mpaka wakaamua kuzidisha muda wa kipindi.

..fuatilia mahojiano hapa chini.


View: https://www.youtube.com/watch?v=ExjdX8ZPBwQ

Daah I Wish Ningekuwa Namsikiaa 😭, Unaweza Kuweka Mahojiano Yake kwa Maandishi Nami Nielewe Kinachosemwa...
 
Hata mimi napenda sana kuangalia mahojiano ya Lissu, nafurahia namna anavyojibu maswali kwa ufafanuzi wa kina. Huwezi kubaki na maswali kwa anayoyaengelea.
sister Ukipata Muda Naomba Uandike Nyuzi Humu za Mahojiano Ya Lissu ili Nami niweze Kuelewaa , Nakuomba 🙏
 
sister Ukipata Muda Naomba Uandike Nyuzi Humu za Mahojiano Ya Lissu ili Nami niweze Kuelewaa , Nakuomba 🙏
Kupitia posts zako 2 hapa nimeelewa una shida ya kusikia, pole sana.

Nenda YouTube tafuta mahojiano yake na BBC yale huwa wanaweka na maandishi, mengine nitaangalia namna ya kukusaidia nikiweza.

Pole sana.
 
Waandishi wa habari wa Bongo hupenda kuhoji watu wapuuzi wapuuzi kama Pierre Liquid, Dk. Shika, Manara, Lissu, nk kwasababu Wabongo wengi wenye vichwa vyepesi hupenda vitu vya kipuuzi puuzi!
Kweli ww ni mtoto wa shule. Yaani umwite Lissu mpuuzi puuzi. Wewe ni fakeni kabisa
 
Back
Top Bottom