Zaidi ya Ma-MC 10 kuongoza harusi ya Masanja Mkandamizaji

Hivi hako kabinti kamewazidi nini wengine aliopitia?
 
Ikikuuma lazima useme.
Ndicho kilichomkuta nifah.
Unajua mmeo kama hakusifii..kama hakutoi out,kama anaogopa kutembea sambamba na ww.
Teh..teh..teh..
Ujue unamatatzo na matatzo yanakuja kujidhihirisha wazi jinsi unavyowaonea wivu wanaume wa wanawake wenzio wanaopendwa na kusifiwa na waume zao.
Na wasi wasi umeachika kitambo ww..na unahasira ya kuwa single mother..
Kusifiwa unakusikiaga redion na kusoma jf.
Hahhahahhahahaha.
 
mimi siolewi na mtu kama masanja hata kwa winchi
misifa majivuno muongo mnafiki
nampenda kwa kuchekesha tu
 

Hehehehe watu washaanza kujisikia vibaya tayari si kampenda wa kwake jamani tatizo wapii
 
KWA JINSI Nifah ALIVYOCHAMBWAA ๐Ÿ˜› ๐Ÿ˜› SIDHANI KAMA ANA HAMU NA HUU UZI TENAA...!!! ูุซู‰ุฒุฒุฒแŒธ แ‹ แŒธแ‹ แ‹ แ‹  ๐Ÿ˜› ๐Ÿ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ