Zaidi ya Ma-MC 10 kuongoza harusi ya Masanja Mkandamizaji

Kawaida ya mwanamke huwa inapotea ukiwpewa papuchi, kitu kinavuta, kinang'ata, kwanini usitangaze ndoa!
 
Masanja hongera mtumishi wa Mungu. Mke mwema mtu hupewa na Mungu na uzuri wa mwanamke ni tabia wala sio urembo!

Ninakutakia sherehe njema ya ndoa yako na maisha yenye mafanikio wewe na mkeo.
 
Nifah Leo umeonekana? VP kwanza maisha yanaendaje!!,mwendo kasi imekuacha au ndo pamoja hivyo ya kimia kimia acha kupotea nifah aise
 
Apana jamani mwacheni nifah amesema la moyoni kwani kuna mtu amekwazika na hilo?
 
Nifah achana nao wasikuhalibie ibada ya mwezi uliopita baada mashahihisho ya mwezi baado yanaendelea
 
Namuonea hako kadada huruma. Kama katakuwa kanasafiri majuu hasa China akague mabegi yake kwa uangalifu wa hali ya juu kabla ajaenda airport. Ningeshaur anunue xray scanner ya mabegi kwa sir bila mkandamizaj kugundua
Ujinga mtupu umeandika
 
Misifa tu...kama anampenda inatuhusu nini?
Kila mtu akitangaza anavyompenda wake itakuwaje?
Upendo wa ukweli hautangazwi...unaonekana.
Sa si ndo kaamua kuonyesha kwa watu baada ya kukaa kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…