Zaidi ya Ma-MC 10 kuongoza harusi ya Masanja Mkandamizaji

Hehehehe watu washaanza kujisikia vibaya tayari si kampenda wa kwake jamani tatizo wapii

Mimi namsifu Niffah wa Jamii forum ninaemwona hata sura.Huyu wa Masanja mnaemsifia kamwona nani?Mbona mnaogopa hata kuweka picha yake tukamlinganisha na sifa mnazompa?Usijekuta sura kama li tv lililovunjika.Mnaogopa hata kumtaja jina?Kwa nini nisiendelee kumsifia Niffah?
 
Unaweza rudia kunielewesha ???nimetoka kapa japo umenifurahisha cc Heaven on Earth labda uje unisaidie hapa
 
Hahahahaha Nifah huna hamu na huu uzi.. Kama nakuona vile unavyopita kimya kimya
 
Nifah VP MTU Wangu wambie na mm nakupenda! Wasikuhalibie siku jamani na ss tutafunga ya kwetu September 11
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…