Nairobi is the mother of slums in the whole world but we are silent.
Thibitisha kwa google earth kua dar kuna slum ona hiiπππππππππFrom the pictures I can see the boundaries of kibera. Please show me the boundaries of this one.View attachment 1066606
Sent using Jamii Forums mobile app
Almost half of Nairobi population live in slums
[/URL]
Kwanza unajua maana ya makazi holela hebu tafsiri maana ya makazi holela alaf ukimaliza hapo nikugundishe tofaut kimaana ya ya slum na makazi holelaJiji la Dar es Salaam ni la tano kwa wingi wa watu Afrika, na linakadiriwa kuwa na watu milioni 13.5 ifikapo mwaka 2035. Licha ya ukuaji huo, zaidi ya robo tatu ya wakazi wa Dar es Salaam wanaishi katika makazi holela. Changamoto nyingine ni ubovu wa miundombinu na ajira rasmi.
View attachment 1066587
Thibitisha kwa google earth kua dar kuna slum ona hii[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1066632
Define slum?
Define unplanned settlement?
After umepata definition ya izo mbili and how they relate you can come back to me.
Sent using Jamii Forums mobile app
Slumpolis.Kwanza unajua maana ya makazi holela hebu tafsiri maana ya makazi holela alaf ukimaliza hapo nikugundishe tofaut kimaana ya ya slum na makazi holela
So unamaanisha google earth inadanganya πππππIs google map the only source according to you? See how retarded you are.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiji la Dar es Salaam ni la tano kwa wingi wa watu Afrika, na linakadiriwa kuwa na watu milioni 13.5 ifikapo mwaka 2035. Licha ya ukuaji huo, zaidi ya robo tatu ya wakazi wa Dar es Salaam wanaishi katika makazi holela. Changamoto nyingine ni ubovu wa miundombinu na ajira rasmi.
View attachment 1066587
Yeeebabaa ππππππ lete vituThibitisha kwa google earth kua dar kuna slum ona hiiπππππππππ
View attachment 1066632
Ukasahau giant in the worldπππππ
Ukinipa maana ya slum na maana ya makazi holela njoo tuongee hapaπππ
The whole world is at shock
Alaf mulivo na unyama kibera mukaigeuza kua national park wazungu waje wajionee sayari ya piliπππππππ
Almost half not half, nyie three quarters and more, 90%!., and in Nairobi some places ranked as slums like parts of Kayole, Dandora, Huruma if you cant compare na your normal places., deduct these, the worst like kibera and mukurus are less than 15%., kiukweli mko ovyo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Anasema google earth inasema uongoπππππ
The whole Nairobi is slum, technology technology technology
Tatizo la kuongozwa na hisia title imeelekeza vyema na mstari wa kwanza hivyo nilitarajia mistari inayofuata isapot topic sentence with references, examples, facts, citation of some scholars and other statement related to them, so kajifunze kuandika hurudi tena jukwaani ππππSenior, kichwa cha topic chafaa kuwa robo tatuβ¦.yaani 75%
Inasikitisha sana aisee...