Zaidi ya robo tatu ya wakazi wa Dar es Salaam wanaishi katika makazi holela

Zaidi ya robo tatu ya wakazi wa Dar es Salaam wanaishi katika makazi holela

From the pictures I can see the boundaries of kibera. Please show me the boundaries of this one.View attachment 1066606

Sent using Jamii Forums mobile app
Thibitisha kwa google earth kua dar kuna slum ona hii😆😆😆😆👇👇👇👇👇
722E7F82-FCA9-4C1A-8C9A-AD94C9EB8E11.png
 
Jiji la Dar es Salaam ni la tano kwa wingi wa watu Afrika, na linakadiriwa kuwa na watu milioni 13.5 ifikapo mwaka 2035. Licha ya ukuaji huo, zaidi ya robo tatu ya wakazi wa Dar es Salaam wanaishi katika makazi holela. Changamoto nyingine ni ubovu wa miundombinu na ajira rasmi.
View attachment 1066587
Kwanza unajua maana ya makazi holela hebu tafsiri maana ya makazi holela alaf ukimaliza hapo nikugundishe tofaut kimaana ya ya slum na makazi holela
 
Jiji la Dar es Salaam ni la tano kwa wingi wa watu Afrika, na linakadiriwa kuwa na watu milioni 13.5 ifikapo mwaka 2035. Licha ya ukuaji huo, zaidi ya robo tatu ya wakazi wa Dar es Salaam wanaishi katika makazi holela. Changamoto nyingine ni ubovu wa miundombinu na ajira rasmi.
View attachment 1066587

Please if you can give an evidence from a reliable and credible source.
 
Almost half not half, nyie three quarters and more, 90%!., and in Nairobi some places ranked as slums like parts of Kayole, Dandora, Huruma if you cant compare na your normal places., deduct these, the worst like kibera and mukurus are less than 15%., kiukweli mko ovyo!

Sent using Jamii Forums mobile app
722e7f82-fca9-4c1a-8c9a-ad94c9eb8e11-png.1066632

The whole Nairobi is slum, technology technology technology
 
Senior, kichwa cha topic chafaa kuwa robo tatu….yaani 75%
Inasikitisha sana aisee...
Tatizo la kuongozwa na hisia title imeelekeza vyema na mstari wa kwanza hivyo nilitarajia mistari inayofuata isapot topic sentence with references, examples, facts, citation of some scholars and other statement related to them, so kajifunze kuandika hurudi tena jukwaani 🙏🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom