Zaidi ya robo tatu ya wakazi wa Dar es Salaam wanaishi katika makazi holela

Kama President mwenyewe anaishi kwa slum sembuse wananchi
 
Nairobi is the mother of slums in the whole world but we are silent.
Sijui anazungumzia slums zipi amesahau kuwa wamewekeza sana kwenye slums na magorofa yao mchanga yanayopunguza population kila leo.
 
What you don't understand is that whole of Dar is slum even the CBD is slum.

Sent using Jamii Forums mobile app

Aha ha haa haaa
if you are a layman in a certain field of prefession is not bad or even stupidity, but to pretend that you know or you are a profession in a certain field is bad and even more than a stupidity.
You need to go to learn
1. Unplanned Settlements
2. Squarters
3. Slum
4. Redevelopment
5. Gentrification
6. City Rejuvination or Revitalising

Please come here after you have been conversant with the above concepts.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Magorofa ya biscuits ukilikojolea linaenda na mkojo jumla jumla
Wamesahau hayo ama kweli wanapambana kuonyesha kibanzi tz na kusahau boliti kwao. Jinga kabisa hawa.
 
swali hua najiuliza how do people survive kwenye nyumba za mabati kama hzi


 
Wajinga wamechemka kweli kweli. Si kitu wazi kwamba Dar ni slum
Google earth hio uchawi wa mzunguπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Dar








Nairobi
 


Living in the ironsheets is more than living in slums with spectacular scenery of the magnificent wondering gardens
Wahurumieni hawakujua maana ya makazi holela wao walifkiri ni slumsπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 


Living in the ironsheets is more than living in slums with spectacular scenery of the magnificent wondering gardens

Such houses make up less than 2% of Nairobi's built up area.
Now look at a map of Dar. Slums make up 98% of the area.
 
Such houses make up less than 2% of Nairobi's built up area.
Now look at a map of Dar. Slums make up 98% of the area.
Aliekwambia nani so google earth inasema uongoπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Slums zaidi ya 40 ziwe na 2% land
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…