Zaidi ya satellite 120 za Elon Musk zinaanguka toka Angani

Zaidi ya satellite 120 za Elon Musk zinaanguka toka Angani

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
Zaidi ya satellite 120 za Elon musk zinaanguka toka Angani

1_20250214_121938_0000.png


Kuna kipindi ulikua unaangalia Angani unakutana na rangi nyingi juu zinakimbia kwa kasi zikiwa mchanganyiko hizo ni satellite za Elon Musk zilikua zinaanguka na kuwaka Moto.

2_20250214_121938_0001.png


Kuanzia januari 1 mwaka 2025 mpaka leo hii Februari Kuna satelllite nyingi za Elon musk zinaanguka duniani na kuwaka Moto, zaidi ya satellite 120 toka SpaceX ziliteketea na kuzua wasiwasi juu ya athari za mazingira.

Wanaanga wanasema kila siku satellite kati ya 4 mpaka 5 huingia kwenye Anga ya Dunia na kutoa chembechembe za alumini na Oksidi huku Uchunguzi unaonyesha kuwa bidhaa hizi zinaweza kuharakisha uharibifu wa safu ya ozoni.

3_20250214_121938_0002.png


Japo spaxeX wana satellite zaidi ya 7,500 ziko Angani.
 
Back
Top Bottom