Mkuu ongea polepole wakikusikia wabongo watakuamshia, wao wanakuambia Amerika hana Kila kitu anatuibia madini yetu.In terms of natural resources America is the second richest nation, next to the Slavic bully, Russia.
Tanzania ina madini kidogo sana kiasi kwamba kama wakiyategemea watakufa maskini, wao wangekuwa na serikali makini wangewekeza kwenye kilimo na utalii ingewasaidia.Mkuu ongea polepole wakikusikia wabongo watakuamshia, wao wanakuambia Amerika hana Kila kitu anatuibia madini yetu.
Isije kuwa huwa tunakatishwa tamaa na hao watafiti kwa sababu hao hao wanafanya utafiti halafu Tena wanakuja kuchimba kama siyo wao direct basi kupitia makampuni yao mengineTanzania ina madini kidogo sana kiasi kwamba kama wakiyategemea watakufa maskini, wao wangekuwa na serikali makini wangewekeza kwenye kilimo na utalii ingewasaidia.
Pia hakuna kampuni yoyote ya kimarekani inayochimba madini nchini Tanzania.
Marekani usiwaamini sana, wanajitengenezea mazingira ya kuiibia Afrika kiulaini.Baada ya kugundua zaidi ya tani bilioni 2 za madini adimu sana, Marekani sasa ina uwezo wa kuwa kiongozi wa ulimwengu katika suala hilo.
Kuwa kiongozi wa dunia linapokuja suala la rasilimali kunaelekea kuwa jambo zuri katika jukwaa la kimataifa - na Marekani inaweza hivi karibuni kuwa kiongozi wa dunia baada ya ugunduzi huko Wyoming.
Over 2 billion tons of rare Earth mineral found in US could make country the new 'world leader'
The discovery has the potential to make the US a world leader in rare Earth mineralswww.unilad.com
Mkuu FaizaFoxy Amerika Ina rasilimali nyingi kuliko nchi yoyote Afrika, Wana oil ya kutosha karibu 70 billion barrels, lakini pia Wana gold reserve kuliko nchi yoyote Dunia achilia mbali dhahabu ambayo haijachimbwa, Wana misitu Wana fertile lands. Wanaeneo kubwa kuliko nchi yoyote Afrika. Ukubwa USA ni karibia theluthi moja ya Afrika. Wanasiasa wanatudanyania data za kihuni et tuna madini utafikiri tunayo peke yetu. Wekeza kwenye elimu na teknolojia, kilimo na siasa safi mambo yaende. #Nipo pamoja na SamiaMarekani usiwaamini sana, wanajitengenezea mazingira ya kuiibia Afrika kiulaini.
Wana teknolojia ya kuchakata ila kwa reserve unaweza kukuta hats Burundi au Tanzania ndio inaongoza.In terms of natural resources America is the second richest nation, next to the Slavic bully, Russia.
Mkuu acha utani, America IPO kwenye maeneo ya volcano Sasa anakosa vipi rasilimali. Marekani wa 4 kwa uzalishaji wa natural gas, hakuna nchi Afrika inayomzidi Mafuta, Ardhi ya kutosha, rare earth elements za kutosha Sasa mkuu kipi huelewi.Wana teknolojia ya kuchakata ila kwa reserve unaweza kukuta hats Burundi au Tanzania ndio inaongoza.
Dude are you joking ? 😀Wana teknolojia ya kuchakata ila kwa reserve unaweza kukuta hats Burundi au Tanzania ndio inaongoza.
Hujasoma ukaelewa ee. The discoveries include oxides of neodymium, praseodymium, samarium, dysprosium and terbiumFix hizo hayo madini hayana jina?
Nilifikiri kwa teknolojia waliyokuwa nayo watakuwa wameshagundua madini yote yaliyopo kwenye ardhi yao, kumbe mengine ndiyo wanayagundua sasa!!? Kama nihivyo basi sisi tunaweza kuwa na madini mengi Sana ambayo hatujayagundua kwenye ardhi yetuBaada ya kugundua zaidi ya tani bilioni 2 za madini adimu sana, Marekani sasa ina uwezo wa kuwa kiongozi wa ulimwengu katika suala hilo.
Kuwa kiongozi wa dunia linapokuja suala la rasilimali kunaelekea kuwa jambo zuri katika jukwaa la kimataifa - na Marekani inaweza hivi karibuni kuwa kiongozi wa dunia baada ya ugunduzi huko Wyoming.
Over 2 billion tons of rare Earth mineral found in US could make country the new 'world leader'
The discovery has the potential to make the US a world leader in rare Earth mineralswww.unilad.com
Baada ya kugundua zaidi ya tani bilioni 2 za madini adimu sana, Marekani sasa ina uwezo wa kuwa kiongozi wa ulimwengu katika suala hilo.
Kuwa kiongozi wa dunia linapokuja suala la rasilimali kunaelekea kuwa jambo zuri katika jukwaa la kimataifa - na Marekani inaweza hivi karibuni kuwa kiongozi wa dunia baada ya ugunduzi huko Wyoming.
Over 2 billion tons of rare Earth mineral found in US could make country the new 'world leader'
The discovery has the potential to make the US a world leader in rare Earth mineralswww.unilad.com
Tupe ushahidi vinginevyo ni porojo tu za masjid ubwabwa kama kawaida.Marekani usiwaamini sana, wanajitengenezea mazingira ya kuiibia Afrika kiulaini.