Zaidi ya vituo 11,000 vya kupiga kura havipo kwenye mtandao.

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,496
Zaidi ya vituo 11,000 vya kupigia kura kati ya 40,000 havipo kwenye mtandao wa 2G au 3G. Kwahiyo itabidi waende kwenye maeneo yenye mtandao ili waweze kutuma matokeo kwenda IECB.

My take: Pamoja na kuwa nchi ya uchumu wa kati, bado kuna watu hawapo kwenye mtandao kabisa?
 
Wangejipanga na VSAT communication
 



Hapo umedanganya. Nchi nzima ya Kenya iko na 2g connection, lakini kutangaza haya matokeo kunahitaji the fast speeds za 3g kwenda juu. However, 3g ++ haipatikani kwenye robo ya vituo hivyo vya kupigia kura.
2g is very unreliable for sending that kind of data.
 
Hakuna 2G.

I know what i wrote.
 
Tanzania sidhani kama maisha haya yapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata wewe unahitaji msaada huo, ndiyo maana badala ya kufafanua umemuomba mwanzilishi ndo afafanue

Sent using Jamii Forums mobile app
Hehe chapa kikombe cha chai jombaa naona ni kama bado uko usingizini.Ilikuwa ni utani naelewa VSAT,sattelite communication. Hayo yote kando kura yangu nimeipiga tayari kama dakika thelathini zilizopita.
 
Hii nchi n ya kipumbavu sana 11000 kati ya 40000 ni kiasi kikubwa sana bado wanasema n nchi ya uchumi wa kati? Hey neighbour just relax and have rigged election

Sent using Jamii Forums mobile app
 

dawa ni kubail out makampuni ya simu yaende kioa kijiji
 
Wakenya mnafurahisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…