Msaada kidogo jamani; Huyu 'Msabaha' ni yule Kondoo wa sadaka Au ni Salum Msabah??Zaidi ya wabunge 100 wa CCM hawauziki - Msabah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msaada kidogo jamani; Huyu 'Msabaha' ni yule Kondoo wa sadaka Au ni Salum Msabah??Zaidi ya wabunge 100 wa CCM hawauziki - Msabah
najua wako wengi akina msindai majimbo yao yanatia aibu kwa umasikini na hii inamaanisha hawana mbinu na ni mzigo kwa ccm lakini eti mwenyewe kanenepeana anashindwa hadi kutembea kwa ulafi this is the endList iendelee mimi namjua Mzee Jackson Makweta (ninawahakikishia kama atagombea 2010 Upinzani utashinda hata bila kampeni).
Msaada kidogo jamani; Huyu 'Msabaha' ni yule Kondoo wa sadaka Au ni Salum Msabah??