Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Hata wakati wa magufuli walikuwa hawalipwi wanadhulumiwa na kutishiwa wakigoma na waandishi wahabari kutishiwa kuuliwa wakiripoti.Mwenndazake kamuacha mtu asiyejali wala kuweka nguvu katika utekelezaji
Ameanza dhulma toka enzi za JiweKufikia kugoma siyo nzuri, huyo mwajiri awape stahiki zao ili abaki na idadi ya wafanyakazi anaowamudu
Akina Kadogosa wakamatwe,huyu mkandarasi hana uwezo wa kifedha na managementZaidi ya Wafanyakazi 400 wanaoshiriki katika ujenzi wa Mradi wa Reli ya Kisasa (Standard Gauge Railway – SGR) Awamu ya 2 (Lot 2) kipande cha Morogoro - Makutupora chenye urefu wa Kilometa 422 wameshiriki mgomo kwa kile kinachodaiwa kutoafikiana na uongozi wa Mkandarasi Mkuu Yapi Merkezi kuhusu suala la malipo na muda wa kufanya kazi.
Taarifa kutoka Dodoma zinaeleza kuwa kwa siku kadhaa kumekuwa na mvutano kati ya uongozi wa Yapi na Wafanyakazi hao kuhusu malipo na muda wa kufanya kazi.
Inaelezwa kuwa Mkandarasi alitoa tangazo la kupunguza muda wa kufanya kazi, kutoka saa kumi na kuwa saa nane uamuzi ambao uliendana na kupunguza malipo ya Wafanyakazi hao.
Maamuzi hayo hayakukubaliwa na Wafanyakazi wengi ambao baadhi yao wanataka malipo yarejeshwe kama awali na wengine wanataka walipwe stahiki zao waondoke kazini kwa kuwa pia wanadai hawajaingiziwa malipo yao ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa miezi kadhaa.
Uongozi wa Yapi haujajitokeza kujibu madai hayo ya Wafanyakazi ambao kuanzia asubuhi ya leo Novemba 8, 2023 walifika katika ofisi za Yapi na kutaka kikao.
Pia soma
- (Video) Raia wa Uturuki wanaojenga Reli ya SGR waendeleza mgomo, wakidai mishahara, waomba msaada kwa Rais Samia
- Mkandarasi Yapı Merkezi anayejenga Reli ya SGR atoa ufafanuzi taarifa za kushindwa kuwalipa wafanyakazi wake raia wa Uturuki
Toa upumbavu huyo Mwendazake wako na Kadogosa ndio wa Kukamatwa Kwa kuleta mkandarasi njaa Ili wao wapige Cha Juu.Mwenndazake kamuacha mtu asiyejali wala kuweka nguvu katika utekelezaji
KWAHIYO upo upande upi?Hata wakati wa magufuli walikuwa hawalipwi wanadhulumiwa na kutishiwa wakigoma na waandishi wahabari kutishiwa kuuliwa wakiripoti.
Kadogosa Akamatwa harafu mkandarasi avunjiwe mkataba tuwape Wachina,huyu ana njaa hatomaliza hiyo kazi.Huu mradi kwa asilimia kubwa umeshafeli kuendelea huko lot3&4 mambo ni hayo hayo, na tetesi ni kwamba waturuki hawana pesa za kuendesha huu mradi kwa sasa mpaka wapewe asilimia kadhaa tena na serikali.
Mradi unaenda kufa huu yapi wanao ndoa wafanyakazi wao wa kituruki kila wiki.
Kama serikali haipo huo Mradi unamuhusu nani?Toa upumbavu huyo Mwendazake wako na Kadogosa ndio wa Kukamatwa Kwa kuleta mkandarasi njaa Ili wao wapige Cha Juu.
Mambo ya management ya mkandarasi Serikali inahusikaje?
Chadema chini ya mwamba MboweKWAHIYO upo upande upi?
Hao ndio kabisa njaa imejaa, kama wanashindwa kujisimamia wenyewe watawezaje kusimamia Maslah ya nchiChadema chini ya mwamba Mbowe
Inasikitisha. Sarakasi kibao kwenye mradi. Pesa inatafutwa hakuna kupumzika.Tutafute pesa kwa kweli, mfanyakazi analazimisha kufanya kazi masaa mengi daah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]