JF-Expert Member
- Oct 29, 2012
- 1,889
- 1,127
Habari za kuaminika kutoka wizara ya Elimu zimedai kuwa walimu hao watatangazwa leo na naibu waziri wa wizara hiyo Bwana Amin Mulugo!
Tembea na uzi huu hadi jioni ww mwl uliyekuwa mtaani kwa zaidi ya miezi tisa na huku watoto wetu wakiwa hawana walimu!
Wapo walioemda kwenye majiji na manispaa lkn wengi zaid wameenda vijijin!
Naamin JF mtaaimisi kwa wale watakaoemda interior sana na ID zenu zitakuwa inactive tofauti na sasa!
Ushauri!! Kila ukija wilayani Uvinza au pale ntwara au Nachigwea kuchukua salary weka post moja kuhusu maendeleo ya elimu na changamoto zake juu ya watumishi wake na watoto wa mtanzania!
Toeni Elimu kwa watoto wetu na jamii nzima juu uelewa wa rasilimali zetu na zinavyokuwa utilized! Kumbukeni mwl mzazi na ni kiongozi pia.
Nawatakien ufanisi mwema mjichunge kujipa marupurupu kupitia watoto wetu wa kike!
Wenu
Mwl (Msc) Google.