Zaidi ya walimu 20,000 waliokuwa mitaan zaidi ya miezi tisa kupangiwa wilaya waendazo leo!

Zaidi ya walimu 20,000 waliokuwa mitaan zaidi ya miezi tisa kupangiwa wilaya waendazo leo!

Wengi mnapenda sana post zenu watu wachangie ata kwa matusi!kujifanya mko karibu na wakuu kumbe wote wa kulekule,infor yenyewe inaonyesha kilichopo ndani nixxxx----
 
Weleji, kua local sio mpaka uwe local area.Mfano wewe upo town af n local.

hZo private sector n manyanyaso tu,tena mishahara n midogo na wala hakuna akiba ya badae.
 
Shida tupu!;Tatizo la elimu yetu haituandai kujiajiri wadau!.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Karibuni mi nipo kjj mwaka sasa tunawakaribisha sana, kila wk end ninatembea na jf

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom