Mi navyojua kila kitu
kina vigezo vyake,unaposema umekidhi vigezo vyote una uhakika
gani?umesoma shule za international za mamilioni ya ada toka chekechea
unapelekwa na range rover au baloon,umesomeshwa na familia yako hata
kama huna wazazi hujui kuwa una uwezo wa kujisomesha?
Je huko walikoenda ndio eneo sahihi la kuelezea shida zao?maamuzi
waliochukua ni sahihi?je wanajua serikali itachua hatua gani baada ya
maandamano yao?kwanini wasingeenda wizara husika ili kuwapelekea taarifa
sahihi juu yao ili wizara ujue jinsi ya kufanya au kuwasaidia?