Zaidi ya wanafunzi 200 waliokosa mkopo waandamana hadi studio za ITV

Handsome Boy 2014

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
605
Reaction score
151
Zaidi ya Wanafunzi 200 wanaotakiwa kujiunga na elimu ya juu mwaka huu waandamana na kutinga hadi studio za ITV. Wakilalamika kunyimwa mikopo ya elimu ya juu ingawa wana vigezo vya kupata mikopo hiyo.
 
mm niko Civil engineering nimenyimwa mkopo, vigezo vyote nnavyo
 
mm niko Civil engineering SAUT nimenyimwa mkopo, vigezo vyote nnavyo
 
Ni jana tu nlikuwa nasoma report ya mkaguzi wa hesabu za serikali..Naona katika Bodi ya mikopo pia kuna ufisadi wa kutisha..iweje watu wachache wanaiba pesa zilizotengwa kwa ajili ya wanachuo kupewa mikopo..

Jamani hii nayo ni dhambi kubwa sana..
 
Kwani wakiandamana ndo watapewa huo mkopo?
 
Ni jana tu nlikuwa nasoma report ya mkaguzi wa hesabu za serikali..Naona katika Bodi ya mikopo pia kuna ufisadi wa kutisha..iweje watu wachache wanaiba pesa zilizotengwa kwa ajili ya wanachuo kupewa mikopo..

Jamani hii nayo ni dhambi kubwa sana..

Mbona wanazitafuna tu kama vile hazina wenyewe.
 
Ni jana tu nlikuwa nasoma report ya mkaguzi wa hesabu za serikali..Naona katika Bodi ya mikopo pia kuna ufisadi wa kutisha..iweje watu wachache wanaiba pesa zilizotengwa kwa ajili ya wanachuo kupewa mikopo..

Jamani hii nayo ni dhambi kubwa sana..

m koz ilionesha mkopo nitapata 100% ya mkopo ila nimepata hata 10% hazifiki
 
Hahaha akimaanisha nini kiliendelea au nini chaendelea duu kazi IPO kwa kweli
...

Anyway mikopo siku hizi hutolewa na ITV nasi bodi ya mikopo?!!!

Mi navyojua kila kitu kina vigezo vyake,unaposema umekidhi vigezo vyote una uhakika gani?umesoma shule za international za mamilioni ya ada toka chekechea unapelekwa na range rover au baloon,umesomeshwa na familia yako hata kama huna wazazi hujui kuwa una uwezo wa kujisomesha?
Je huko walikoenda ndio eneo sahihi la kuelezea shida zao?maamuzi waliochukua ni sahihi?je wanajua serikali itachua hatua gani baada ya maandamano yao?kwanini wasingeenda wizara husika ili kuwapelekea taarifa sahihi juu yao ili wizara ujue jinsi ya kufanya au kuwasaidia?
 
Mi navyojua kila kitu
kina vigezo vyake,unaposema umekidhi vigezo vyote una uhakika
gani?umesoma shule za international za mamilioni ya ada toka chekechea
unapelekwa na range rover au baloon,umesomeshwa na familia yako hata
kama huna wazazi hujui kuwa una uwezo wa kujisomesha?
Je huko walikoenda ndio eneo sahihi la kuelezea shida zao?maamuzi
waliochukua ni sahihi?je wanajua serikali itachua hatua gani baada ya
maandamano yao?kwanini wasingeenda wizara husika ili kuwapelekea taarifa
sahihi juu yao ili wizara ujue jinsi ya kufanya au kuwasaidia?

vyombo vya habari vina mchango muhimu sana kwenye jamii,na vinafikisha ujumbe kwa jamii kubwa tofauti na unapoenda wizarani
 
Mi navyojua kila kitu kina vigezo vyake,unaposema umekidhi vigezo vyote una uhakika gani?umesoma shule za international za mamilioni ya ada toka chekechea unapelekwa na range rover au baloon,umesomeshwa na familia yako hata kama huna wazazi hujui kuwa una uwezo wa kujisomesha?
Je huko walikoenda ndio eneo sahihi la kuelezea shida zao?maamuzi waliochukua ni sahihi?je wanajua serikali itachua hatua gani baada ya maandamano yao?kwanini wasingeenda wizara husika ili kuwapelekea taarifa sahihi juu yao ili wizara ujue jinsi ya kufanya au kuwasaidia?

HII HATA SIJAKUELEWA KABISA WAMAANISHAA NINI KWA POST YANGU HII

Hahaha akimaanisha nini kiliendelea au nini chaendelea duu kazi IPO kwa kweli
......
Anyway mikopo siku hizi hutolewa na ITV na si bodi ya mikopo?!!!
 
Back
Top Bottom