Handsome Boy 2014
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 605
- 151
Ahaaa wakomae tu watapata haki yao
mm niko Civil engineering nimenyimwa mkopo, vigezo vyote nnavyo
Ni jana tu nlikuwa nasoma report ya mkaguzi wa hesabu za serikali..Naona katika Bodi ya mikopo pia kuna ufisadi wa kutisha..iweje watu wachache wanaiba pesa zilizotengwa kwa ajili ya wanachuo kupewa mikopo..
Jamani hii nayo ni dhambi kubwa sana..
mh kingereza kigumu.
Ni jana tu nlikuwa nasoma report ya mkaguzi wa hesabu za serikali..Naona katika Bodi ya mikopo pia kuna ufisadi wa kutisha..iweje watu wachache wanaiba pesa zilizotengwa kwa ajili ya wanachuo kupewa mikopo..
Jamani hii nayo ni dhambi kubwa sana..
Hahaha akimaanisha nini kiliendelea au nini chaendelea duu kazi IPO kwa kweli
...
Anyway mikopo siku hizi hutolewa na ITV nasi bodi ya mikopo?!!!
Mi navyojua kila kitu
kina vigezo vyake,unaposema umekidhi vigezo vyote una uhakika
gani?umesoma shule za international za mamilioni ya ada toka chekechea
unapelekwa na range rover au baloon,umesomeshwa na familia yako hata
kama huna wazazi hujui kuwa una uwezo wa kujisomesha?
Je huko walikoenda ndio eneo sahihi la kuelezea shida zao?maamuzi
waliochukua ni sahihi?je wanajua serikali itachua hatua gani baada ya
maandamano yao?kwanini wasingeenda wizara husika ili kuwapelekea taarifa
sahihi juu yao ili wizara ujue jinsi ya kufanya au kuwasaidia?
Mi navyojua kila kitu kina vigezo vyake,unaposema umekidhi vigezo vyote una uhakika gani?umesoma shule za international za mamilioni ya ada toka chekechea unapelekwa na range rover au baloon,umesomeshwa na familia yako hata kama huna wazazi hujui kuwa una uwezo wa kujisomesha?
Je huko walikoenda ndio eneo sahihi la kuelezea shida zao?maamuzi waliochukua ni sahihi?je wanajua serikali itachua hatua gani baada ya maandamano yao?kwanini wasingeenda wizara husika ili kuwapelekea taarifa sahihi juu yao ili wizara ujue jinsi ya kufanya au kuwasaidia?