Zaidi ya watanzania 100 wafariki Mererani

Zaidi ya watanzania 100 wafariki Mererani

pole sana kama hukujua hayo.

humu kila mtu ana chama chake isipokuwa INVISIBLE na MODS wenzake tu wao sio wafuasi wa chama chochote.lakin ni watanzania wenye kuipenda kwa moyo wao wote nchi yao,wenye kuitakia mema na kuwatakia mema waTZ wenzao.

Of course wana vyama vyao,ambacho sikukijua kabla ni kuundwa kwa MATAWI ndani ya JF
 
Duuuuuu
Serikali lazima ilipe uzito swala hili,hata kama angekufa mmoja,ni pigo kubwa sana kwa TAIFA,nasema tena nasema ipo haja ya serikali kuingilia kati swala hili na kuwawezesha hawa ndugu zetu wana Appolo wawe na mazingira bora,vitendea kazi vya uhakika na management nzuri ktk shughuli zao za kila siku.

Pole kwa ndugu za marehemu,na MUNGU azilaze kwa amani rohoni za marehemu wote.
Bwana ametoa na ametwaa,Jina la Bwana lihimidiwe.
 
Kama watu hawa ndio sababu ya vifo vya Maalbino basi sishangai sana na nasema wanastahili kupata maafa hayo kwani ni watu ambao wamevuka mipaka kwa kuwaua jamii ya maalbino ,adhabu za aina hii tunazisoma kwenye vitabu vya dini si za kawaida.
Si juzi tu humu humu JF mlilaani wauaji wa Maalbino ,sasa dua zenu zimejibiwa mnaanza kupiga makelele. Au mnasemaje ???
 
Pamoja na kusikitikia upotevu wa maisha haya lakini hatuna budi sisi kama jamii tujiulize kama kweli maisha ya binadamu kwetu yana thamani yeyote. Hali ilivyo katika machimbo madogodogo wote tunaijua kuanzia kupuuzia masuala ya usalama hadi utumiaji mbaya wa mercury! Tuna jua vitendo vya udhalimu vinavyofanywa dhidi ya hao watoto wadogo wanaofanya kazi katika machimbo hayo. Lakini mtu akituambia tunatetea uovu wote huu kwa msingi wa uzalendo. Inabidi tuache kujificha nyuma ya uzalendo na kudai kuwa kanuni na sheria zitungwe kama hazipo na kusimamiwa ili kuhakikisha kuwa maisha ya watanzania hayaendelei kutolewa kafara.
 
Hawa si ndio wale wanaosababisha vifi vya Maalbino lana imewashukia ,na huko hakuna cha watoto wadogo wote ni mijibaba tena ya miraba minne ni hatari kama utakuwa new comer hawachelewi kukuzima.
 
JK hajaenda kuwatembelea wala nini ..yeye yuko BUTIAMA akakula uroda tuuu

Then he calls himself the Commander in Chief

Its fair to say kuwa Tanzania we are technically governed by the Three Billy Goats Gruff, JK himself, the silliest billy goat, incompetent headline grabber PM Pinda, and Membe, who is selling the country out to private contractors as fast as he can under the pretext pf foreign investors
 
watu zaidi yA 100 wamekufa and one would have thought COMMANDER IN CHIEF angeenda MERERANI walau ku save face lakini wapi!

Commander in chief yuko Butiama anakula kuku kwa mrija

Yes, I know this kikao been arranged for a long time but he could have postponed it, if only for a few days, pleading pressing business at Mererani.

JK's place right now ishould have been Mererani. He should have been touring the disaster area, feeling people's pain and dispensing mulligatawny soup and some drinking water, accompanied by MAMA SALMA KIKWETE in aristocratic, frayed jacket, Laura Ashley frock and not some kitenge as she is predeictable.

He should be out there digging drainage ditches in Mererani, not digging latrines in Butiama. A bit of noblesse oblige might not have gone amiss.

It would have conveyed a sense of getting his priorities right. If there was one time when it wouldn't have done JK any harm to behave like an old-fashioned MSWAHILI WAKATI WA SHINDA, this was it.

JK,How about extending a bit of compassion to those you expect to vote for you next time?

As far as voters in Tanzania are concerned, it's not the lack of clean drinking water in Butiama conference centre which is top of their concerns, it's lack of clean drinking water in Mererani.

He won't have endeared himself to those who should be his natural supporters by disappearing off to Butiana while our fellow Tanzanians have been buried under six feet of water and mud

That's what a serious Leader of a Country would have done - consoled the victims and doled out a bit of high-profile, practical help, while simultaneously holding his Prime minister Mr Pinda to account.

In the middle of a national crisis, he shouldn't go missing, giving the impression that he cares more about CCM in Butiama than those ordinary Tanzanians in Mererani.

The time for stunts is over. We need a commander in Chief and not this cartoon like figure who doesnt know what to do in a time of crisis like this.
 
hivi rais wetu kweli huwa anapata daily briefing juu ya yanayoendelea nchini ?
 
This is getting petty!!! JK is your President u nut,not God..why not have William Ngereja go,he is the Minister of Energy & Mineral- and he is not even a NEC member in Butiama.

hata angeenda Simanjiro, u would blame him still.4 something else

If you're serious, Call William Ngereja, his number is +255-787-603-535,tell him to Tour Merelani now..Blame JK First Season is a little lame, he can eat kuku while his President?..For the Merelani victims, R.I.P.amen
 
hapo juu pia vile vile kwa kuongezea, sidhani kama suala hili lingeweza kupitia directly kwa kikwete iwapo halikupita kwanza na foremost kwa viongozi wa serikali za mitaa. yap ! Hawa viongozi wa serikali za mitaa ni kama vile marais wa mitaa au nchi, because they are soo close to the people hivyo wao ndio wa kwanza kujua matatizo yao, baada ya hapo nadhani kuna manispaa, mkoa then taifa. Kama hili suala limepita kwa viongozi wote hao na wameshindwa kusolve, nadhani automatically JK would have to solve the problem, lakini kumlalamikia kila kitu just shows on how senseless driven minds we potray !

Kutojua chain of management nadhani ndio kosa linalochangia kwa kila mtu kufikia uamuzi wa kumpaka JK hata yale makosa ya ujenzi mbovu wa shule za misingi, mitaro ya maji na taka taka !
 
Babu naona wamekukera kweli !
 
Eloquent...Eloquent assessment!

Kada, watu wasifanye politics na maisha ya wanadamu wenzio mkuu!
 
hivi rais wetu kweli huwa anapata daily briefing juu ya yanayoendelea nchini ?

.....swali zuri sana, inaonekana jamaa hana staffs wanaojua vizuri mambo ya PR!!! wenzao issue kama hizi ndio 'huzitumia" kwa photo-op za kupigia kampeni cycle nyingine............ama kweli kazi ipo.
 
Rais anawajibika moja kwa moja ktk majanga makubwa siku zote na hii ni duniani kwote.Kama kwa namna moja au nyingine ameshindwa kufika eneo la tukio basi anatuma mwakilishi na kuhakikisha linafanywa linalo wezekana/lilalotatikana.Kama lugha nzuri iliyotumika "AMRI JESHI MKUU" ina akisi(reflect) moja kwa moja ktk janga kama hili.
Kuhusu mfumu wa utawala ambao baadhi ya wajumbe wameongelea hapa wa ngazi za madaraka ni kweli unahusika ila una limitation zake kama eneo hili rais si lazima apokee habari kutoka aliyemkabidhi madaraka ktk eneo hilo kwa maneno mengine hana budi kufika eneo la tukio labda na labda tu kuna jambo jingine muhimu ndio anaweza kuwakilishwa.
Kwa kusema hivyo mfumo huu wa delegation of power moja ya hasara zake is when those people to whom power is delegated will abuse power they reveice and fail to accomplish their job.
And remember first rule of leadership "every thing is your fault "
 
I wouldn't blame the President for not physically showing up to offer his condolences, comfort and support at Mererani and he can actually do that from Butiama via the media.

Well said Kadampinzani.
 
Msiwe na wasiwasi kuna ile Gulfstream 5.. itaruka baada ya masaa machache kwenye Arusha na kurudi kuendelea na kikao... kwani mara ngapi huwa inaruka kwenye visafari vya "hapa na pale"?
 
And remember first rule of leadership here "every thing is JK fault "

we cant act like all thats happening in TZ is whats in headlines..Kuna matatizo mengi,ajali, vifo n.k in all parts of the country, hii sio baby-day-care State tunalia the President anakula kuku watu wanakufa;yaani, kama vile kuna proportionality ya ulaji wake wa Chicken na vifo...Nyerere,Mwinyi,BMW wote wamekula, Rais wa Comoro hata yeye na umati wake wa wananchi wanaoweza sell-out Stadium ya kisasa ya mpira,pia hula Kuku..JK ale nini sasa?

we WHINE too much...I say Ngereja should go there Now....lets all call HMM..

+ 255-787-603-535

We'll know kama halishughulikii kabisa, Ngereja may need the Headline..Yaani, hata El Ninho ikimwaga mvua machimbo is JK Fault??
 
we cant act like all thats happening in TZ is whats in headlines..Kuna matatizo mengi,ajali, vifo n.k in all parts of the country, hii sio baby-day-care State tunalia the President anakula kuku watu wanakufa kama vile kuna propoortionality ya ulaji wake wa Chicken na vifo...

we WHINE too much...I say Ngereja should go there Now....lets all call HMM..

+ 255-787-603-535

We'll know kama halishughulikii kabisa, Ngereja may need the Headline..Yaani, hata El Ninho ikimwaga mvua machimbo is JK Fault??

ndio ubaya wa kutumia politics kama source of income ! watasema chochote wapitishe kinywa mdomoni !
 
Chadema hawajaenda bado mererani kuwapa pole wahanga?Wangwe chukua helikopta ukawape pole wahanga!
 
Back
Top Bottom