Zaidi ya watu 80 wafa wakikanyagana kugombea msaada wa Eid nchini Yemen

Zaidi ya watu 80 wafa wakikanyagana kugombea msaada wa Eid nchini Yemen

... kuna mmoja alihoji ni kwanini msimu wa Pasaka watu wanakufa sana ilikuwa ni ajali gani sikumbuki. Haya mambo hayana formula. Huko China watu sijui wangapi hapo jana wameteketea kwenye stampede muda mfupi mwezi ukisubiriwa utokeze! Majanga sio kitu cha kukebehi au kumcheka mwingine.
 
Jamn samahani kuuliza kwamba si hiku ndiko kwenye utajiri mwingi wa mafuta na mali nyinginezo nyingi sasa inakuwaje hapo tena?
 
Ukifanikiwa kwenye maisha, mshukuru Mungu, asiyekuwa nacho naye bado ni wa Mungu yuleyule aliyekupa kufanikiwa maisha!

Kufa hakuna tajiri wala masikini
 
Linapokuja swala la imani, mwanadamu huu ni kiumbe mjinga kuliko viumbe wote duniani.
Wanamatatizo ya vita siunafaham.. hawajakufa kwavili walifunga au?? Imani inaingiaje hapa?? Unakukumbuka kipindi cha Nyerere alivoitia nchi kwenye njaa?? Njaa ni hatari sana.
 
Mwezi vipi huko haujaandama bado....?
 
Back
Top Bottom