Zaidi ya watu 80 wafa wakikanyagana kugombea msaada wa Eid nchini Yemen

Mungu atuondolee njaa. Wapumzike mahala pema peponi.
 
... kuna mmoja alihoji ni kwanini msimu wa Pasaka watu wanakufa sana ilikuwa ni ajali gani sikumbuki. Haya mambo hayana formula. Huko China watu sijui wangapi hapo jana wameteketea kwenye stampede muda mfupi mwezi ukisubiriwa utokeze! Majanga sio kitu cha kukebehi au kumcheka mwingine.
 
Jamn samahani kuuliza kwamba si hiku ndiko kwenye utajiri mwingi wa mafuta na mali nyinginezo nyingi sasa inakuwaje hapo tena?
 
Ukifanikiwa kwenye maisha, mshukuru Mungu, asiyekuwa nacho naye bado ni wa Mungu yuleyule aliyekupa kufanikiwa maisha!

Kufa hakuna tajiri wala masikini
 
Linapokuja swala la imani, mwanadamu huu ni kiumbe mjinga kuliko viumbe wote duniani.
Wanamatatizo ya vita siunafaham.. hawajakufa kwavili walifunga au?? Imani inaingiaje hapa?? Unakukumbuka kipindi cha Nyerere alivoitia nchi kwenye njaa?? Njaa ni hatari sana.
 
Hatari sana habari imesomwa kutoka UHAI Tv. Inasikitisha hawa ndugu zetu 80 kutolewa kafara baada ya mfungo. Wamekufa wakikanyagana kugombea misaada ya Eid.
Imasikini ni mbaya sana
 
Mwezi vipi huko haujaandama bado....?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…