M meddiy JF-Expert Member Joined Feb 9, 2023 Posts 577 Reaction score 647 Apr 21, 2023 #21 Salary Slip said: Linapokuja swala la imani, mwanadamu huu ni kiumbe mjinga kuliko viumbe wote duniani. Click to expand... We akili huna. Hapo swala la imani linaingia vp mzee. Hapo tuongelee njaa na umasikini sio imani.
Salary Slip said: Linapokuja swala la imani, mwanadamu huu ni kiumbe mjinga kuliko viumbe wote duniani. Click to expand... We akili huna. Hapo swala la imani linaingia vp mzee. Hapo tuongelee njaa na umasikini sio imani.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Apr 22, 2023 #22 Hatari sana...
Winnone JF-Expert Member Joined Jul 24, 2022 Posts 1,521 Reaction score 4,143 Apr 22, 2023 #23 So sad,, ivi kwanni hao watoa msaad wasingeweka utaratib mzuri ili wafanikishe lengo lao kuliko kuach watu kuwa na msongamano mpka kupelekea kifo,,
So sad,, ivi kwanni hao watoa msaad wasingeweka utaratib mzuri ili wafanikishe lengo lao kuliko kuach watu kuwa na msongamano mpka kupelekea kifo,,