Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kila njia ya kuwafanya watu wapate chanjo ipo.Vipi hawajasema watafanya kitu gani hapo baadae ili namba iongezeke? Maama hawashindwi kupeleka mikebe ya chanjo kwa watumishi huko makazini
Hongera zaoZaidi ya watu 800,000 wapata chanjo ya Uviko-19
Wizara ya Afya imetoa takwimu hiyo leo ka zaidi ya watu laki nane wamepata Chanjo hiyo nchini.
Takwimu hiyo imetolewa na katibu mkuu wa wizara ya afya
Bac acha nibaki na ujinga wangu MIE[emoji23][emoji23]Wana slogan yao ya Ujanja ni kuchanja
Kweli kabisa hiyo takwimu ina mashaka.Hizo takwimu Serikali isijiaminishe nazo inawezekana waliochanja kiukweli kabisa hata robo tatu hawavuki kwasababu kuna sehemu walimu waliletewa Mtaalamu wa afya kwaajili ya kuwachanja,wao walichokifanya ni kumhonga ambapo chango ilimwaga chini na watu wakaandikishwa kwenye kadi na kadi hizo wanazo.
Ni kweli kabisa waliochanja wanafikia hiyo idadi sio uongoHizo takwimu Serikali isijiaminishe nazo inawezekana waliochanja kiukweli kabisa hata robo tatu hawavuki kwasababu kuna sehemu walimu waliletewa Mtaalamu wa afya kwaajili ya kuwachanja,wao walichokifanya ni kumhonga ambapo chango ilimwaga chini na watu wakaandikishwa kwenye kadi na kadi hizo wanazo.
Serikali yetu sasa hivi inafanya kila njia kujikomba kwa mabeberu ili kupata chochote.Kweli kabisa hiyo takwimu ina mashaka.
Hata hivyo haina umuhimu sana zaidi ya kuwafanya waonekane special kwa Watu weupe
Kuna watu hewa humo Mkuu,niamini Mimi.Km wanaweza kudanganya idadi ya waliokufa kwa maafa fulani,watashindwaje kudanganya hapa kwenye ishu ya chanjo??.Ni kweli kabisa waliochanja wanafikia hiyo idadi sio uongo
Imani potofu na elimu ndogo ni shida sana nchi hiiZile chanjo milioni1 bado bado hazijaisha kumbe[emoji3] tuna safari ndefu kama Taifa
Hamna watu hewa mkuu,mimi niko huku,binafsi mwenyewe nimechanja,na utaratibu wa kuchanja jinsi ulivyo hakuwezi kuwa na mtu hewaKuna watu hewa humo Mkuu,niamini Mimi.
Bac acha nibaki na ujinga wangu MIE[emoji23][emoji23]
Karagabaoo.Watu Wana akili wewe. Juzi tu walisema ni 400,000,Leo eti 800,000 hii ni trick kuwa Uhamasishaji uliofanywa na Serikali umezaa matunda, hivyo wale watu wekundu wakisikia hivyo wanafurahi.Shitukaaaa.Hamna watu hewa mkuu,mimi niko huku,binafsi mwenyewe nimechanja,na utaratibu wa kuchanja jinsi ulivyo hakuwezi kuwa na mtu hewa