Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Hayo ni mawazo yako mkuu, ukweli ni kwamba hizi chanjo zilivyoanza kuingia watu walikuwa wanaziogopa sana na hata kwenye kuchanja ilichukua muda mrefu sana, nakumbuka hapa hospitali kwetu zilikuja kama 300 lakini juzi tu ndo zimeisha tangu mwezi wa 8 tarehe 4.Karagabaoo.Watu Wana akili wewe.Juzi tu walisema ni 400,000,Leo eti 800,000 hii ni trick kuwa Uhamasishaji uliofanywa na Serikali umezaa matunda, hivyo wale watu wekundu wakisikia hivyo wanafurahi.Shitukaaaa.
Kiukweli kazi ya kuwaelimisha watanzania ni kubwa sana na hilo linafanyika kila siku na siku zinavyokwenda muitikio unaongezeka na watu wanazidi kuchanja.