Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Hayo ni mawazo yako mkuu, ukweli ni kwamba hizi chanjo zilivyoanza kuingia watu walikuwa wanaziogopa sana na hata kwenye kuchanja ilichukua muda mrefu sana, nakumbuka hapa hospitali kwetu zilikuja kama 300 lakini juzi tu ndo zimeisha tangu mwezi wa 8 tarehe 4.Karagabaoo.Watu Wana akili wewe.Juzi tu walisema ni 400,000,Leo eti 800,000 hii ni trick kuwa Uhamasishaji uliofanywa na Serikali umezaa matunda, hivyo wale watu wekundu wakisikia hivyo wanafurahi.Shitukaaaa.
Ila dunia hii yaani tunafanya kuwafurahisha wao.Karagabaoo.Watu Wana akili wewe.Juzi tu walisema ni 400,000,Leo eti 800,000 hii ni trick kuwa Uhamasishaji uliofanywa na Serikali umezaa matunda, hivyo wale watu wekundu wakisikia hivyo wanafurahi.Shitukaaaa.
Ndio hivyo Mkuu,amini usiamini ukweli ndo huo.Ila dunia hii yaani tunafanya kuwafurahisha wao.
Wewe umeshachanja?Chanjo nzuri ni hiyo JJ ya mara moja ,hizo za kuchanja mara mbili JAU.
Mimi nimechanja hiiChanjo nzuri ni hiyo JJ ya mara moja ,hizo za kuchanja mara mbili JAU.
Wengine hata hatujui nzuri ni ipi tupo tupo tu
Aukifuatwa inbox unaweza kutoa ushirikiano!? Hasa kwa vyombo vinavyohusika!?Hizo takwimu Serikali isijiaminishe nazo inawezekana waliochanja kiukweli kabisa hata robo tatu hawavuki kwasababu kuna sehemu walimu waliletewa Mtaalamu wa afya kwaajili ya kuwachanja,wao walichokifanya ni kumhonga ambapo chango ilimwaga chini na watu wakaandikishwa kwenye kadi na kadi hizo wanazo.
Wewe umeshachanja??.
Tusifike huko, ujanja ni kuchanjaWana slogan yao ya Ujanja ni kuchanja
Haya bhana!!!,Nilikuwa SUA, Siku ya uzinduzi wa chanjo Maprofessa wengi hawakwenda kuchanja, wanafunzi ndo usiseme,nimeenda vijijini huko unakuta mzee anasema ana wasiwasi na chanjo kwahiyo hawezi kuchanja.Hayo ni mawazo yako mkuu, ukweli ni kwamba hizi chanjo zilivyoanza kuingia watu walikuwa wanaziogopa sana,na hata kwenye kuchanja ilichukua muda mrefu sana...
Hongera,Mimi bado nipo nipo kwanza.Long Time Mkuu....Wewe je?
SawaHaya bhana!!!,Nilikuwa SUA, Siku ya uzinduzi wa chanjo Maprofessa wengi hawakwenda kuchanja, wanafunzi ndo usiseme,nimeenda vijijini huko unakuta mzee anasema ana wasiwasi na chanjo kwahiyo hawezi kuchanja.Hbr ya kwamba mwitikio ni mkubwa ni UWONGO kwasababu tangu chanjo imeletwa hadi leo kwa takwimu hizo hata km ni uongo bado ni kodogo Sana.Anyway Endeleeni kupiga propaganda ili watu weupe wafurahie.
Umechanja MkuuHaya bhana!!!,Nilikuwa SUA, Siku ya uzinduzi wa chanjo Maprofessa wengi hawakwenda kuchanja, wanafunzi ndo usiseme,nimeenda vijijini huko unakuta mzee anasema ana wasiwasi na chanjo kwahiyo hawezi kuchanja.Hbr ya kwamba mwitikio ni mkubwa ni UWONGO kwasababu tangu chanjo imeletwa hadi leo kwa takwimu hizo hata km ni uongo bado ni kodogo Sana.Anyway Endeleeni kupiga propaganda ili watu weupe wafurahie.
Kama afya yako imara endelea kuwepo wepo ila kama MPESEMPESE nenda kachanje.Hongera,Mimi bado nipo nipo kwanza.