#COVID19 Zaidi ya watu 800,000 wapata chanjo ya Uviko-19

Zile chanjo milioni1 bado bado hazijaisha kumbe😀 tuna safari ndefu kama Taifa
Siyo safari ndefu ndg, wewe hata ndugu zako wenyewe hawajadungwa sindano unaendelea kulalamikia damu nyingine ala!.
 
Kwamba nikichanja siwezi kufa?,Je,vifo vyote vinavyotokea nchini vinasababishwa na Virus vya corona??.

Yamekua hayo mkuu? Nani kasema Dawa zinazuia kifo achilia mbali chanjo? Kwahiyo ukiumwa malaria au typhoid ukipewa dawa za kuponyesha ndio hautokuja kufa?
 
Yamekua hayo mkuu? Nani kasema Dawa zinazuia kifo achilia mbali chanjo? Kwahiyo ukiumwa malaria au typhoid ukipewa dawa za kuponyesha ndio hautokuja kufa?
Nauliza hivyo kwasababu wengi wa walio chanja wanajinasibu na chanjo hiyo kanakwamba wamepata garantii ya kuishi miaka mingi.
 
Nauliza hivyo kwasababu wengi wa walio chanja wanajinasibu na chanjo hiyo kanakwamba wamepata garantii ya kuishi miaka mingi.

Kutokuwa na ufahamu ,chanjo ya uviko haina uhusiano wowote na kuishi maisha marefu bali inakukinga ma madhara makubwa ambayo yangetokea kama ungekuwa haujachanja....Vitu vingi vinasababisha vifo not only magonjwa kuna ajali ,commit suicide etc
 
Basi Afadhari yako una uelewa huo, wengine hawajui hilo.
 
Zaidi ya watu 800,000 wapata chanjo ya Uviko-19

Wizara ya Afya imetoa takwimu hiyo leo ka zaidi ya watu laki nane wamepata Chanjo hiyo nchini.

Takwimu hiyo imetolewa na katibu mkuu wa wizara ya afya
IDADI YA WALIOCHANJWA LAZIMA IONGEZEKE KWA SABABU VIONGOZI WA MKOA WAMEPOKEA MAELEKEZO YA KUHAHAKISHA CHANJO ZOTE ZINAISHA ILI ZISICHINE(EXPIRE).

KIMSINGI NJIA ZINAZOTUMIKA KUSHAWISHI WATU WACHANJE NI ZINA BILA UHIARI NDANI YAKE.

MH. RAIS ALIAGIZA WATU WAPEWE ELIMU KUHUSU CHANJO KISHA WAO WACHAGUE LAKINI BAADHI YA WATOA HUDUMA WANAONDOA HIARI YA MTU.

MFANO MAMA ANAYEKUJA KUPEWA HUDUMA YA KLINIKI YA UJAUZITO ANAAMBIWA ACHANJE KWANZA NDO APATE HUDUMA AU MGONJWA/NDUGU ANAYEKUJA KUPATA HUDUMA YA MATIBABU ANAAMBIWA ANUNUE BARAKOA MLANGONI AU ACHANJWE NDIO AINGIE KUPATA HUDUMA.

SAHIVI CHANJO ZINATOLEWA KWA HUDUMA YA MKOBA(OUTREACH).HUKO VIJIJINI WAZEE WETU HAWANA ELIMU JUU YA CHANJO HII NA SIDHANI KAMA WANAFAHAMU KAMA KUNA UHIARI,LAKINI UKWELI NI KWAMBA IDADI KUBWA YA WALIOCHANJWA NDO INATOKA HUKO.
 
Ni wapi huko mama mjamzito analazimishwa kuchanja kabla ya huduma .
 
Kweli kabisa Kulingana na kampeni zinazo endeshwa zinafanya kuwepo na idadi hiyo
 
Hivi kuna uhusiano kwenye chanjo na uchama?
Mbona mnafanya mambo ya kawaida kuwe na utimu.
Chanjo ni kwa hiari yako wala usihusishe chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…