#COVID19 Zaidi ya watu 9,000 wamepata chanjo, hakuna madhara yaliyoripotiwa

#COVID19 Zaidi ya watu 9,000 wamepata chanjo, hakuna madhara yaliyoripotiwa

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Waziri wa Afya wa Zanzibar, Nassor Ahmed Mazrui amesema hakuna madhara yaliyoripotiwa kutokana na chanjo za #COVID19.

Tangu kuanza kwa zoezi la utoaji chanjo zaidi ya watu 9,000 wamepatiwa chanjo hadi sasa.

Zoezi la utoaji chanjo linaendelea bara na visiwani kwa hiyari.
 
1.Juzi waliochanjwa walikuwa ni zaidi ya 100.000 leo wwe unakuja na 9000. Angalia vizuri
2. Hayo wanayosema ni madhara ni sideeffect kama za ALU, PPF INJ,Antisnake venom etc, dawahizo zipo tu hazijafutwa , zoezi la chanjo ni salama sana.
Sawa mkuu....
Naomba nikuulize maswali kama ifuatavyo:-
1. First phase ya research ilifanyika kwa mnyama gani?
2. First phase ya research ilifanyika lini na wapi na kwamuda gani?
3. Umejuaje kama chanjo hazina side effects kwa binadamu.
4. Johnson and Johnson ime recommend nini kwa wale watakao chanjwa, na nimadhara yapi wameyataja kuweza kumtokea atakae chanjwa?
 
Hundreds of fully vaccinated people in England have been hospitalized with the highly contagious Delta coronavirus variant, scientists said on Friday.

In their latest COVID-19 update, Public Health England (PHE) experts also warned there were early signs that people who have been inoculated may be able to transmit the Delta strain as easily as those who have not received any jabs.
 
Dominant strain​

PHE’s findings chime with those from the United States Centers for Disease Control and Prevention, which last week raised concerns that vaccinated people infected with Delta could, unlike with other variants, readily transmit it.
 
Waziri wa Afya wa Zanzibar, Nassor Ahmed Mazrui amesema hakuna madhara yaliyoripotiwa kutokana na chanjo za #COVID19.

Tangu kuanza kwa zoezi la utoaji chanjo zaidi ya watu 9,000 wamepatiwa chanjo hadi sasa.

Zoezi la utoaji chanjo linaendelea bara na visiwani kwa hiyari.
Hahahaha, hao panya 9000 wakae kwa kutulia, wakiwa fresh miaka 15 ijayo, then na sisi tutachoma
 
1.Juzi waliochanjwa walikuwa ni zaidi ya 100.000 leo wwe unakuja na 9000. Angalia vizuri
2. Hayo wanayosema ni madhara ni sideeffect kama za ALU, PPF INJ,Antisnake venom etc, dawahizo zipo tu hazijafutwa , zoezi la chanjo ni salama sana.
Sawa, nenda kachome, ukiwa fresh baada ya miaka 15 nasi tutachoma
 
Kwani ni madhara gani hayo mnayokusudia ambayo mnasema hayajaripotiwa?
 
Sawa mkuu....
Naomba nikuulize maswali kama ifuatavyo:-
1. First phase ya research ilifanyika kwa mnyama gani?
2. First phase ya research ilifanyika lini na wapi na kwamuda gani?
3. Umejuaje kama chanjo hazina side effects kwa binadamu.
4. Johnson and Johnson ime recommend nini kwa wale watakao chanjwa, na nimadhara yapi wameyataja kuweza kumtokea atakae chanjwa?
First phase ya research si ilifanyika kwa bibi ako hapo machame au umesahau?
 
Dingi yangu mdogo anapata maumivu ya ngozi ya kichwani. Anapata gas tumboni yupo kalazwa huko hayo madhara mnayosemea hayajapatikana sielewi mna maana gani
Kweli Ujinga bado ni Adui wa Taifa hili!
 
"Vaccines have been shown to provide good protection against severe disease and death from Delta, especially with two doses, but there is less data on whether vaccinated people can still transmit it to others."...

Jenny Harries, chief executive of the UK Health Security Agency, said the hospitalisation figures showed “once again how important it is that we all come forward to receive both doses of the vaccine as soon as we are able to do so”....

“Vaccination is the best tool we have in keeping ourselves and our loved ones safe from the serious disease risk COVID-19 can pose,” Harries said in a statement.

There're more to copy...kama tunataka kuchagua vya kucopy kutoka kwenye hiki chanzo cha habari
 
Back
Top Bottom