#COVID19 Zaidi ya watu 9,000 wamepata chanjo, hakuna madhara yaliyoripotiwa

#COVID19 Zaidi ya watu 9,000 wamepata chanjo, hakuna madhara yaliyoripotiwa

1.Juzi waliochanjwa walikuwa ni zaidi ya 100.000 leo wwe unakuja na 9000. Angalia vizuri
2. Hayo wanayosema ni madhara ni sideeffect kama za ALU, PPF INJ,Antisnake venom etc, dawahizo zipo tu hazijafutwa , zoezi la chanjo ni salama sana.
Juzi walikuwa watanzania wote

Hao 9000 Ni wa Zanzibar pekee
 
"Vaccines have been shown to provide good protection against severe disease and death from Delta, especially with two doses, but there is less data on whether vaccinated people can still transmit it to others."...

Jenny Harries, chief executive of the UK Health Security Agency, said the hospitalisation figures showed “once again how important it is that we all come forward to receive both doses of the vaccine as soon as we are able to do so”....

“Vaccination is the best tool we have in keeping ourselves and our loved ones safe from the serious disease risk COVID-19 can pose,” Harries said in a statement.

There're more to copy...kama tunataka kuchagua vya kucopy kutoka kwenye hiki chanzo cha habari

Hii ni statement ya wish-washy!!! They want you to take more jabs, then some more, then again and again, until you've made them zillionaires at the very expense of your health and life!!! Read the data clearly...

From July 19 to August 2, 55.1 percent of the 1,467 people hospitalized with the Delta variant were unvaccinated, PHE said, while 34.9 percent – or 512 people – had received two doses.
 
nyie chanjweni mpaka matak... ni ila mimi hamjanishawishi bado ...
 
Hata yangekuwepo,kwani mngeyaripoti?Kama vifo vya corona mliacha kutangaza 2020, hata madhara ya chanjo mtayapotezea tu
 
Kwa maelezo tu yaliopo kwenye form ya kujaza Ili upate chanjo unadhani effect za iyo chanjo itatangazwa na utaenda kulipoti wapi endapo utapata #hida juu ya chanjo
 
1.Juzi waliochanjwa walikuwa ni zaidi ya 100.000 leo wwe unakuja na 9000. Angalia vizuri
2. Hayo wanayosema ni madhara ni sideeffect kama za ALU, PPF INJ,Antisnake venom etc, dawahizo zipo tu hazijafutwa , zoezi la chanjo ni salama sana.
Zanzibar haiwezi chanja hao watu
 
1.Juzi waliochanjwa walikuwa ni zaidi ya 100.000 leo wwe unakuja na 9000. Angalia vizuri
2. Hayo wanayosema ni madhara ni sideeffect kama za ALU, PPF INJ,Antisnake venom etc, dawahizo zipo tu hazijafutwa , zoezi la chanjo ni salama sana.
Mkuu unachosema ni kweli.mwezi wa 2 nilidungwa sindano tuchupa tuwili mda huhuo nilipata kichef chefu na kutamani kutapika, sindano ikagoma kupeleka dawa,nesi akabadilisha mkono. Yani ilikuwa hovyo kabisa. Madawa yote mwili hauyapendi sasa hii ta korona haina tofauti na dawa zingine.
 
Dingi yangu mdogo anapata maumivu ya ngozi ya kichwani. Anapata gas tumboni yupo kalazwa huko hayo madhara mnayosemea hayajapatikana sielewi mna maana gani
Nahisi wengi wetu hatujazoea kuripoti yanayotukuta, hivyo inachukuliwa hamna kilichotokea. Angalia hata case za ubakaji,Ni chache huripotiwa kuliko uhalisia
 
Hii ni statement ya wish-washy!!! They want you to take more jabs, then some more, then again and again, until you've made them zillionaires at the very expense of your health and life!!! Read the data clearly...

From July 19 to August 2, 55.1 percent of the 1,467 people hospitalized with the Delta variant were unvaccinated, PHE said, while 34.9 percent – or 512 people – had received two doses.
Hiyo ndiyo dunia ya kibepari inavyoenda.
Tunajua shida ya sigara, kwa mfano, lakini zipo sokoni. Kila dawa unayotumia kutibu ugonjwa ni namna ya kumtengeneza mtu kuwa zillionaire. Huyo zillionaire hataki huo ugonjwa uishe. Unalala kwenye vyandarua vya net, watengenezaji hawataki malaria iishe, nk. Matajiri tunaowaona duniani ndivyo wanavyojitengeneza. Na hii haimaanishi matatizo hayapo. Mfano haimaanishi malaria haipo. Na sisi tunaokunywa dawa za malaria haimaanishi tunapenda, isipokuwa tunalazimika kwa vile ndiyo njia pekee ya uponaji. Same to chanjo za pepopunda, surua, nk.
Kwa hivyo, dunia ya sasa si ya kulialia kwamba "fulani anataka kuwa zillionaire" kupitia mimi. Ameshatengeneza tatizo na amekunasa. Ni suala la wewe nawe kumnasa kwa namna unayoijua nawe uwe zillionaire. Wakati sisi tunalialia, wataibuka na lingine.
Mwisho, corona ipo na inaua!
Chanjo zipo na zinapunguza probability of dying. Sasa kutopunguza hiyo probability ili kukataa wao kuwa ma-zillionaire ni personal decision na ni ushujaa pia!
 
Back
Top Bottom