Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Sawa mkuu....1.Juzi waliochanjwa walikuwa ni zaidi ya 100.000 leo wwe unakuja na 9000. Angalia vizuri
2. Hayo wanayosema ni madhara ni sideeffect kama za ALU, PPF INJ,Antisnake venom etc, dawahizo zipo tu hazijafutwa , zoezi la chanjo ni salama sana.
Hahahaha, hao panya 9000 wakae kwa kutulia, wakiwa fresh miaka 15 ijayo, then na sisi tutachomaWaziri wa Afya wa Zanzibar, Nassor Ahmed Mazrui amesema hakuna madhara yaliyoripotiwa kutokana na chanjo za #COVID19.
Tangu kuanza kwa zoezi la utoaji chanjo zaidi ya watu 9,000 wamepatiwa chanjo hadi sasa.
Zoezi la utoaji chanjo linaendelea bara na visiwani kwa hiyari.
Afu wewe ndo utavimba likichwaDingi yangu mdogo anapata maumivu ya ngozi ya kichwani. Anapata gas tumboni yupo kalazwa huko hayo madhara mnayosemea hayajapatikana sielewi mna maana gani
Sawa, nenda kachome, ukiwa fresh baada ya miaka 15 nasi tutachoma1.Juzi waliochanjwa walikuwa ni zaidi ya 100.000 leo wwe unakuja na 9000. Angalia vizuri
2. Hayo wanayosema ni madhara ni sideeffect kama za ALU, PPF INJ,Antisnake venom etc, dawahizo zipo tu hazijafutwa , zoezi la chanjo ni salama sana.
First phase ya research si ilifanyika kwa bibi ako hapo machame au umesahau?Sawa mkuu....
Naomba nikuulize maswali kama ifuatavyo:-
1. First phase ya research ilifanyika kwa mnyama gani?
2. First phase ya research ilifanyika lini na wapi na kwamuda gani?
3. Umejuaje kama chanjo hazina side effects kwa binadamu.
4. Johnson and Johnson ime recommend nini kwa wale watakao chanjwa, na nimadhara yapi wameyataja kuweza kumtokea atakae chanjwa?
Kweli Ujinga bado ni Adui wa Taifa hili!Dingi yangu mdogo anapata maumivu ya ngozi ya kichwani. Anapata gas tumboni yupo kalazwa huko hayo madhara mnayosemea hayajapatikana sielewi mna maana gani
"Vaccines have been shown to provide good protection against severe disease and death from Delta, especially with two doses, but there is less data on whether vaccinated people can still transmit it to others."...In England, hundreds of vaccinated people hospitalised with Delta
Public health experts warn ‘vaccines do not eliminate all risk’ amid early signs jabs may not stop Delta transmission.www.aljazeera.com