A
Anonymous
Guest
Mfumo wa Bodi ya Mikopo HESLB, ni zaidi ya wiki sasa tunapata shida katika kutuma maombi, nawapigia simu zao hawapokei, tupewe hata maelekezo tujue nini kinaendelea, ni kero kubwa aise.
Ni kwamba vigezo wameweka vingi tumejitahidi kutimiza ila bado ni changamoto mfano mimi nikifika sehemu ya kuiweka taarifa za mfadhili ndio kabisa sivuki hapo, ukiwapigia simu inaita tu hawapokei.