Zaidi zaidi

Zaidi zaidi

kruzostom

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2024
Posts
310
Reaction score
419
Jaman vipi kuhusu hizi koz
Screenshot_20240908-191838.png
Screenshot_20240908-192156.png
Screenshot_20240908-192245.png
 
Funguka zaidi mkuu tukusaidie kipi hapo ,unapenda Nini Kwa mawazo uliyokwisha kusanya
 
KOZI YOYOTE INAYOANZA NA ENVIRONMENTAL USIIWEKE KWENYE UFAHAMU WAKO KABISA
Environmental engineering bonge moja la course mzee neno lenyewe tuu panaa msijidanganye wazee mm nmeajliwa kwenye company inayofanya installation,maintenance and design of firefighting system na pia installation of ac nafanya kaz na mechanical eng. Pia baaz ya kaz ata za barabara mfano juz tarura wameitaj civil au environmental.
 
case study ? Wewe hapo
 
Kivipi mzee mnakalili dunia haigandi wazee ifatilie vzur hyoo course ya environmental engineering utajua upana wake halaf fatlia course za kihandis znakua kwa kasi mzee utaijua.
mnakalili= mnakariri
Vzur=vizuri
hyoo=hiyo
halaf=halafu
fatlia=fuatilia
Kihandis=kihandisi
znakua=zinakuwa

Haya tuendelee sasa

Tahasusi za uhandisi zinazokuwa kwa kasi kubwa nchini Tanzania (Achana na zile mama ambazo zimetia mizizi )

1. Uhandisi wa Umeme na Mitambo Inayojiendesha Yenyewe (Electrical & Automation Engineering)

2. Uhandisi wa Nishati (Energy Engineering)

3. Uhandisi wa Madini na Metallurgi (Mining & Metallurgical Engineering)

4. Uhandisi wa Mawasiliano (Telecommunications Engineering)

5. Uhandisi wa Programu (Software Engineering)

6. Uhandisi wa Data na Sayansi ya Data (Data Engineering & Data Science)

7. Uhandisi wa Kilimo (Agricultural Engineering)

8. Uhandisi wa Mitandao na Usalama wa Mtandao (Network & Cybersecurity Engineering)

Hiyo environmental ni general course ambayo inaingia kwenye zote hizo na wengi wao ni research and data analysts tu hawafanyi kazi direct kama hao ambao ni specific , na ndiyo maana haihitaji watu wengi kwenye department yake hivyo swala la ajira linakuwa gumu kuliko kozi nyenginezo .
 
Daah ww zero kabisa hizo ndyoo zinakua kwa kasi kama hyoo Telecommunications Engineering huoni wanavyolalamika wahitimu wake harafu environmental engineering huijui babu siwez bishana na ww mm kama mm nipoo kwenye company inayofanya installation na kudesign firefighting system nachora michoro na tunafanya installation nawasimamia mafundi pia ac huijuii mzee bora ukae kimyaa mzee.
 
mnakalili= mnakariri
Vzur=vizuri
hyoo=hiyo
halaf=halafu
fatlia=fuatilia
Kihandis=kihandisi
znakua=zinakuwa

Haya tuendelee sasa

Tahasusi za uhandisi zinazokuwa kwa kasi kubwa nchini Tanzania (Achana na zile mama ambazo zimetia mizizi )

1. Uhandisi wa Umeme na Mitambo Inayojiendesha Yenyewe (Electrical & Automation Engineering)

2. Uhandisi wa Nishati (Energy Engineering)

3. Uhandisi wa Madini na Metallurgi (Mining & Metallurgical Engineering)

4. Uhandisi wa Mawasiliano (Telecommunications Engineering)

5. Uhandisi wa Programu (Software Engineering)

6. Uhandisi wa Data na Sayansi ya Data (Data Engineering & Data Science)

7. Uhandisi wa Kilimo (Agricultural Engineering)

8. Uhandisi wa Mitandao na Usalama wa Mtandao (Network & Cybersecurity Engineering)

Hiyo environmental ni general course ambayo inaingia kwenye zote hizo na wengi wao ni research and data analysts tu hawafanyi kazi direct kama hao ambao ni specific , na ndiyo maana haihitaji watu wengi kwenye department yake hivyo swala la ajira linakuwa gumu kuliko kozi nyenginezo .
Harafu hizo course zako lini wametoa ajira mzee zikatangazwa zero kabisaa ww.
 
Back
Top Bottom