Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,138
Na wenyewe waimbe wowowoWajifunze nini sasa?
Na wenyewe waimbe wowowowajifunze nini ? kuimba wowowo au ?
[emoji23][emoji23][emoji23] naona umeamua kupita njia ya mkato tuNa wenyewe waimbe wowowo
nimwanamuzikiZaidi nae ni msanii?
Ebu mwambie uyoMbona Tamaduni wamesha
switch karibia. wote ...songa alitangulia ....akafata ...Zaidi ..akafata Nikki mbishi....akafata ....One the incredible na Gheto Ambassador ...naona na Mansu Li...nae ameswitch .
Tamaduni sahv karbia wote wanapiga show sana ukicompare na nyuma ..walikuwa wanagemea hela ya downloader tu ...lakn now show wanapata japo sio sana.
Mziki wakuimba shida plus matatizo vijana awausapoti ..ila ukiimba ujinga flani ..unakubalika sana.