Zaiid ni mfano wa kuigwa na wasanii wa Tamaduni music

Zaiid ni mfano wa kuigwa na wasanii wa Tamaduni music

Huu wimbo wa WOWOWO ni psychological punishment kwa flat screen wote.

Nakumbuka maneno ya Darrasa;
Hii nchi yetu ukiimba Hip hop yenye ujumbe mzuri watu hawaku-suport, ila ukiimba upuuzi watakupa shavu sana.
Ndo point yangu hiyo wasanii
Wengine nao waige wawe maarufu
 
Mbona Tamaduni wamesha
switch karibia. wote ...songa alitangulia ....akafata ...Zaidi ..akafata Nikki mbishi....akafata ....One the incredible na Gheto Ambassador ...naona na Mansu Li...nae ameswitch .

Tamaduni sahv karbia wote wanapiga show sana ukicompare na nyuma ..walikuwa wanagemea hela ya downloader tu ...lakn now show wanapata japo sio sana.

Mziki wakuimba shida plus matatizo vijana awausapoti ..ila ukiimba ujinga flani ..unakubalika sana.
Wote wamejaribu kwenda mainstream ila aliyetusua ni Zaiid pekeyake
 
Wote wamejaribu kwenda mainstream ila aliyetusua ni Zaiid pekeyake
ila angalau ...ukilinganisha na zamani..maana wote walikuwa awasikiki...na aliyekuwa anawapangangia kuwa wasileleke nyimbo radion alikuwa ni Nikki mbishi ..sasa Jay moe ...alipomshauri Songa ...kuwa aswitch ndo nakina zaidi wakafata nyayo zake ...sasa Tatizo lilikuwa ni Nikki mbishi .
 
Zaiid au afya ndogo nilimkubali kama ,mmoja wa marapa wakali baada ya kuflow na nyimbo ya eminem lose urself kwa ufanisi wa hali ya juu

kwani wewe ulikuwa wamchukulia poa huyo Dogo"" dogo ana damu ya hip hop huyo Mjomba wake nimiongoni mwa nguli walioupigania huu mziki kufika hapa ulipo anaitwa chief ramso"" anaishi UK kwa sasa"" huyo Dogo Mara ya kwanza niliwahi kukutana nae studio za tattoo mnamo 2009....alikuwa amekwenda kufnya vocal pale "" nilivyomsikia tu akiwa anatema flow ..nikasema eeeehhh"" shuzi limepata mjambaji"" Jamaa anajua mnooo""" msikilize kwenye ile cover ya J.cole ""who Dat
 
Back
Top Bottom