Mtu wa Kawaida
JF-Expert Member
- May 2, 2008
- 239
- 69
Wakuu nimepata taarifa kwamba hawa ZAIN watakuwa London tarehe 22-24 may 2009 kwa ajili ya kusaili watu wengine kwenye idara za HR, Sales and Marketing, Finance, IT. Huu usahili umeandaliwa na Global Career Company wenye ofisi zao mjini london
Je hii inakaaje kama wao wenyewe wanapunguza watu halafu wanakuja tena kusaili watu wengine kwa nafasi hizi??
Je hii inakaaje kama wao wenyewe wanapunguza watu halafu wanakuja tena kusaili watu wengine kwa nafasi hizi??