Zain kunatisha!

Wakuu nimepata taarifa kwamba hawa ZAIN watakuwa London tarehe 22-24 may 2009 kwa ajili ya kusaili watu wengine kwenye idara za HR, Sales and Marketing, Finance, IT. Huu usahili umeandaliwa na Global Career Company wenye ofisi zao mjini london
Je hii inakaaje kama wao wenyewe wanapunguza watu halafu wanakuja tena kusaili watu wengine kwa nafasi hizi??
 
Swali zuri, ila hii ni nchi ya ufisadi ndugu yangu. Vyama vya wafanyakazi karibia vyote vimeshanunuliwa.

Na katika sekta binafsi panga likipita ni kila mtu anakufa kivyake. Labda wafanyakazi wa Zain wawe wa kwanza kuonesha mfano wa Union power in private sector.

Otherwise hapo utakuta kila mfanyakazi anawaza akajishikize wapi, au arudi shule kuongeza kisomo, etc.

Jamani hakuna chombo cha kuwatetea wafanyakazi haswa wale wataopunguzwa.
 
Habari zilizotufikia kutoka katika Kikao cha MBM kinachofanyika Ubungo Plaza Blue Pearl Hotel Dar es Salaam,zinabainisha nafasi ya waliokuwa wawakilishi wa kanda TERRITORY MANAGERS zimepigwa panga na baadhi yao wametajwa kuachia ngazi akiwemo yule mpemba Zuberi Ally maarufu kama Hammie J ambaye alikuwa Retail Manager baada ya kukataa kushushwa cheo,hali ni tete sana Zain leo ni Karume Day lakini wakulu wa Zain wamekomaa,nitaendelea kuwajuza kinachoendelea.
 
Kweli siyo vyote ving'aavyo ni dhahabu..sikutegemea hii financial cruch ingelipiga hodi kwenye telecom industry so soon. Probably the issue here is that Zain employed many people in the past without having the structured business model. Niliwahi kuambiwa kuwa nafasi nyingine zilikuwa zinatengenezwa jinsi mtu anavyojisikia. Hii ilipelekea kuwa na mameneja wengi ambao kazi zao zilikuwa zinaingiliana. Sijui kama kuna ukweli wowote hapo, isipokuwa this is not a good news at all.
 
Eeero Wanajamii, Leo hapa Zain wafanyakazi wapatao 25 wamepewa barua zao,Nimesikitishwa sana kwa wezangu hawa kupunguzwa wakiwa na umri mdogo mpaka sasa Elineka Nangawe,Asupya,Palapala nk
 
Eeero Wanajamii, Leo hapa Zain wafanyakazi wapatao 25 wamepewa barua zao,Nimesikitishwa sana kwa wezangu hawa kupunguzwa wakiwa na umri mdogo mpaka sasa Elineka Nangawe,Asupya,Palapala nk


JESUS CHRIST ON A BICYCLE... Ndinaliyoo!
 
Yaaaani mpaka Beauty Mmari? Jamani mbona yule dada alikuwa mchapa kazi sana, wengine ni Layla Marawi na Aidan tena katoka kuoa juzi tu Erooo nitawajuza zaidi
 
duuu hii kali sasa, mbona mtaani kutakuwa mshikemshike sasa.... huruma sana.
 
This is definitely bad news!!! Hasa kwa akina siye tuliojipendekeza kurudi!!! PA KUTOKEA HATUNA NA PA KUINGILIA PAMEFUNGA

.....
 
Jamani mambo yanazidi kuwa magumu kila kukicha, leo kwa wenzetu wa Zain, kesho it might be you or me.., hali inatisha sana. La muhimu ni kujipanga upya na tuombe Mungu atunusuru na hili balaa.. sasa Africa ndo tunaanza kuona effects za financial crisis..,
 
mkuu naona umetupestia website nzima nzima ingawa hukuweka picha na logo zao.
Mimi ni mteja wa Zain lakini am not proud
 
mkuu naona umetupestia website nzima nzima ingawa hukuweka picha na logo zao.
Mimi ni mteja wa Zain lakini am not proud

Sasa na wewe umeona bora uikopi na upesti vilevile kama haitoshi...au unamuonea donge jamaa...M...N...T...-By Nyani Ngabu..
 
Duu? huko zain kuna mshikaji wangu sijui atakuwa amesevu? yuko kwenye rank ya umeneja japo sijui umeneja wa nini? inatisha hii wakuu.. make si mnajua mambo ya extended family, likimkuta huyu, kwa njia nyingine lina kugusa!
 
zain hakutishi kwani watu wote customer service jamani? kuna wabongo kibao wanapost za maana ..kazi wanazo ...rank za chini ndo walie tuu!!
 
hao walio katika post hizo hawajaanzia chini au walizaliwa tu wakaibukia huko ?? kapinga talk sense
 
Du! Lakini zain wanatuchanganyachangaya na huduma zao: Mara pamoja10, jirushe saa ingine weekend. Unajiunga huduma zote matokeo hupati hata moja.....unaweka elfu kumi inaisha fyuu fyuuu fyuuu! Kompyuta zao zinakosea au ndo.....
 
Du! Lakini zain wanatuchanganyachangaya na huduma zao: Mara pamoja10, jirushe saa ingine weekend. Unajiunga huduma zote matokeo hupati hata moja.....unaweka elfu kumi inaisha fyuu fyuuu fyuuu! Kompyuta zao zinakosea au ndo.....
Huwezi kuingia kwenye tariff mbili kwa mpigo, labda kama wamebadilisha.


Also note:
You can migrate for free from one Tariff plan to another after 30 days. Changing tariffs before 30 days will attract a charge of Tsh 300 per change.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…