Zain kunatisha!

Vodacom mpoooo, GFC, inakuja kwenu ukiona mwenzako ananyolewa wewe tilia maji, uongo babu!, jiandae na nyinyi Global Financial Crisis lazima ipitie sasa hivi hiko njiani inakuja iko kilometa 500.
 
Rwabugiri nimekupata poa tigo, lakini wanalala sana hawajamaa, hawatembelei minara yao, sehemu nyingine wanapatikana kwa manati.Zantel Ndo usiseme kabisa, mpaka upande kwenye mti mrefu wa mita 10 juu kuwapata,hata mawakala wao ndo kabisa hawajui kinachoendelea wako vinginevyoa jamaa wote hao wako fresh lakini wame concentrate Dar tu na mwanza sehemu nyingine wameweka mabango tu mazuri lakini hakuna anayetembelea kuona huduma inaendeleaje.Hamkeni Tigo na Zantel tunawapenda wajameni
 
Rwabugiri nimekupata, lakini Tigo wanalala saaanaa!,Zantel ndo usiseme kabisa usingizi ndo kama saa tisa usiku.Hawatembelei minara yao, mimi mteja mzuri wa tigo na zantel, voda si ijui lakini jamaa wote wanapatika kwa manati.Wame concentrate Dar es saalam na Mwanza, sehemu nyingine wameweka mabango ya kumelemeta tu, halafu wanamwachia Voda anapeta.Njooni basi mtoe mabangooo!.Yaaani huku nilipo mpaka nipande mti mita kumi.
Waini Tigo na Zantel Njooni jamani Kahama, Shinyanga na vitongoji vyake
 
Mstahiki;

Umechanganya mambo mengi ya Zain Group (International):

Je, tunaweza kupata Performance Statistics na Indicators kwa Zain Tanzania peke yake in the last 3 Years? Mfanoi mapato, matumizi, namba ya wafanyakazi, net profit, customers growth, coverage growth n.k. bila kusahau kodi mnayolipa serikalini.

Ukifanya hivyo tutakuwa na uhakika na performance ya Zain TZ bila kukimbilia kwenye mipango ya Ukoo (International)
 

Asante sana ila swali langu ni kwenye PAMOJA10. Mbona inasumbua sana kwenye kubadilisha watu wa kuwapigia. Please make it claerly known to all the people mpaka uku Tandahimba tufaidi maisha
 
Vodakomu mpoooo, jiandae mwenzako akinyolewa tilia majiii.
Uchumi wa duania lazima uwapepete kishenzi.
Huyu aliyezungumzia Tigo hajui kama tigo iko Dar es saalm tu.Jamani Tigo na zantel punguzeni kulala, njooni mikoani mokoe jahazi.Mitandao yenu bomba lakini mnalala saana.Mimi nilipo Tigo mpaka nipande kwenye mti wa mita kumi, zantel nao bomba kinoma lakini mmejikita bongo tu amkeni Voda inawapiga bao kishenzi.Alafu mbona mnatumia minala ya voda alafu palepale voda inapatikana eti zantel inasuasua mpaka ujigeuzegeuze mara ulalelale nyuzi 30 mara nyuzi 45 kutafuta mawimbi, jamani Vodacomu wanawauzia mbuzi kwenye gunia, changamkeni.
 
Asante sana ila swali langu ni kwenye PAMOJA10. Mbona inasumbua sana kwenye kubadilisha watu wa kuwapigia. Please make it claerly known to all the people mpaka uku Tandahimba tufaidi maisha

Do you have 10 special persons that you call often, be it night or day? If so, then PAMOJA is the tariff for you! Pamoja10 tariff lets you talk to a chosen numbers at only 1Tsh per second, anytime. You can also change your chosen numbers once every 7 days.

To migrate from your current tariff to Pamoja10 Tariff is free. Simply send sms with a word PAMOJA to 101

Upon correct enrolment you will receive a confirmation message also informing you how to add more favorite numbers by sending the keyword "ADD 078xxxxxxx" to the short code "101"

To check status of the favorite numbers you have to send an SMS with the keyword 'GET 078XXXXXXX' to '101'

To remove the favorite numbers you have to send an SMS with the keyword 'REMOVE 078XXXXXXX' to '101

You can migrate for free from one Tariff plan to another after 30 days. Changing tariffs before 30 days will attract a charge of Tsh 300 per change.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…