Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kati ya makampuni haya ni wepi wenye huduma rahisi ya mawasiliano ya internet na ya uhakika?
Nataka kuunganisha compyuta yangu na intanet, lakini matangazo yao ya biashara yananitia wazimu.
Kama ni biashara weka TTCL Broadband na sio TTCL Mobile! It is very fast and cheap!

zantel ni nzuri ila maelekezo yao ya mwanzo hayaeleweki, maana hadi imekubali kila mtu ananielekeza anavyojua yeye hivyo kujikuta napoteza 20,000 bila kukusudia
Kwa domestic use, ipi iko njema?
Tsh.2500, 400Mb/monthKama ni mawasiliano ya nyumbani tumia Zain; wanatoa packages za Tshs. 500/day, 15,000/week na 70,000/month
TTCL Mobile wako ghali, Zain, VodaCom wako relatively fast na gharama sio kubwa! Tembelea mitandao yao:
www.vodacom.co.tz, Welcome to Zain :: Tanzania
Sijawahi kuona modem za Tigo ila Zantel nasikia nako wako fast and cheap. Sasatel sijawafahamu maana nasikia bado wako Dar labda na miji mingine.

Mitandao mizuri ambayo iko fast kwangu ni sasatel na zantel kwa sababu wateja sio wengi, vodacom wana ile ofa yao ya cheka time inafanya wanakuwa na user wengi sana na zain pia wana wateja wengi. Tigo huwa natumia simu yangu nayo ina shida shida. TTCL nilishawahi kutumia ni very expensive
Sasatel ni very reliable but only in Dar; zain is good out of others, its fast and cheap!
TTCL wanachakachua modems zao.
Toleo jipya la modem ni 'MCHINA'.
Kuwa makini. (Ila wako poa)
Wrong. They are reliable. Nimewatumia tangu 2006 na sija regret. Shida zao ni za kawaida tu tena naona mitandao mingine ina shida kuliko hawa.But not reliable