Zain, Tigo, TTCL Mobile, Zantel na Sasatel

Zain, Tigo, TTCL Mobile, Zantel na Sasatel

Zantel modem zimeisha (nilitaka kununua trh 27 Nov. pale karibu na ubalozi wa marekani), naona demand imekuwa kubwa walivyoshusha bei kuliko walivyotarajia.. Kuleta tena wamesema LABDA December. Naomba mtu kama ana namba za ofisi kwao ili nicheki kama kuna dalili za kupatikana hiyo December.

Kuna anayejua bei ya modem za zain?
 
ZANTEL is the end of the story... and the second is TTCL... unajua challenge ya kutumia mobile devices ni capacity ya minara na wala sio pipe la kwenda kwenye internet... ndio maana TTCL anapiga bao... kwa sababu coper is the proper last mile solution for accomodation of high capacity.
 
ZANTEL is the end of the story... and the second is TTCL... unajua challenge ya kutumia mobile devices ni capacity ya minara na wala sio pipe la kwenda kwenye internet... ndio maana TTCL anapiga bao... kwa sababu coper is the proper last mile solution for accomodation of high capacity.

I would like to differ in red. Copper is a solution but it is not the only and certainly 'proper' solution. Remember with copper, speeds decrease the further you are from the exchange as a result of attenuation.

If there is already copper laid next to you, it is feasible to use that. But in African countries kama bongo, ambapo copper haiko kila mahali then its feasible to use the competing technologies are in place, depending where you are You got Wimax, WiBro and now LTE. 🙂
 
ttcl are just useless. Hakuna shida za kawaida i am paying my money halafu unaniambia shida za kawaida
thanks finest... hii ndio hoja; we pay for services halafu tunaweka allowances za shida za kawaida

Mie sijui na sina cha kulinganisha ila natumia voda kwasababu nilinunua enzi hizo... sina sababu yoyote and i believe for one to have fair comparative analysis lazima zitumike zote pamoja na one methodology ya evaluation na sio perceptions na kulinganisha kusikofanana
 
Zantel modem zimeisha (nilitaka kununua trh 27 Nov. pale karibu na ubalozi wa marekani), naona demand imekuwa kubwa walivyoshusha bei kuliko walivyotarajia.. Kuleta tena wamesema LABDA December. Naomba mtu kama ana namba za ofisi kwao ili nicheki kama kuna dalili za kupatikana hiyo December.

Kuna anayejua bei ya modem za zain?
marketing officer at work... LOL
 
Voda nilikuwa natumia 2GB for 70000 a month naona sasa nimeanza tumia 3GB for 90000 A MONTH bse iyo 2GB huwa inaishia tare 20 au 25 wakati matumizi sijaongeza na wamepandisha kinyemera.
Huu ni uhuni kwa kweli nina mpango wa kuhama
 
Zain sio slow angalia setting zako kwenye hiyo mobile parter. Mimi nimeseti Only 3g na inakuwa fast sana unaweza kukuta inatumia edge. Vilevile wako nafuu sana tsh2500 unapata 400mb. Tsh15000 unapata 3gb. Vodacom wao unalipa tsh 2000 unapata 50mb kwa Zain huna hata Tena ya kuwa na wasiwasi kuhusu automatic updates kwenye pc yako
 
Kati ya makampuni haya ni wepi wenye huduma rahisi ya mawasiliano ya internet na ya uhakika?<br />
Nataka kuunganisha compyuta yangu na intanet, lakini matangazo yao ya biashara yananitia wazimu.
<br />
<br />Wazee naomba mnisaidie natumia zantel na zain moderm lakini nina matatizo mawili la kwanza ni kwamba zain iko slow mpaka inakera,pili mara nyingi wakati natumia huwa zinagoma zinaleta error msg kwamba port closed mpaka ni unstall then ni install upya baadae inakata tena.mwenye mawazo naomba anisaidie
 
Zantel wamechoka kichiz yani kwa sasa wapo slow sana japo fibre inapitia hapo lakini bado hawaja implement
 
zain au voda ndio mpango mzima, zinakuruhusu kutumia line za mitandao mingine baada ya kuichakachua.
 
me naona voda ndio wako fair, 1000 kwa week, 30,000 kwa mwezi, iko poa sana nilitumiaga zantel ya kwa mwezi ikaniishia kabla muda haujaisha , ila voda nikinunuaga ya mwezi basi ni mwezi kweli wala haiishi mpk mwezi upite, sasa hivi naendelea kutumia modem ya voda , ya zantel pia ninayo ila ipo tuu siitumii tena , labda kama kuna mtu anataka nimuuzie

Hiyo 30000 kwa mwzi ni kimeo balaa,spd zero!!!
 
to me zantel is better for only 64000 unapata modem na air time ya 12000 then kwa mwezi unajiunga na highlife unakula 35000 tu mkwa mwezi unaperuzi tu
 
Zantel wanajitahidi kwa vigezo 2 muhimu
1.speed ni relatively high and constant kwa karibu kila mahali ilipo coverage yao(hii nadhani ni kutokana na teknolojia ya CDMA wanayotumia)
2.Bundles zao za Highlife plan ni affordable(2GB for 10,000 kwa muda wa siku 7)
disadv:
1.hawajafika wilayani na vijijini
2.Hii ni kwa wale wenye modem za kisasa za EVDO,kamauna ile ya zamani ya 1X basi imepitwa na wakati maana speed yake haizidi 230kbps
Voda,Airtel na tiGo wanatumia GSM technology 2G/3G,kwa maeneo ambapo wameinstal 3G utapata net vizuri lakini ukiwa sehemu ambapo hamna(hasa nje ya mji na rural areas) utapata EDGE au GPRS ambayo speed ni kama 115kbps tu..utamaliza kikombe cha chai JF haijafunguka
usihadaike na matangazo wala kuiga mtu,chukua kikufaacho kulingana na mahitaji yako
 
Kuna yeyote aliyewahi kutumia connection ya sasatel ya inernet? Je vipi speed na gharama zake?
 
Back
Top Bottom