TTCL wanachakachua modems zao.
Toleo jipya la modem ni 'MCHINA'.
Kuwa makini. (Ila wako poa)
Wrong. They are reliable. Nimewatumia tangu 2006 na sija regret. Shida zao ni za kawaida tu tena naona mitandao mingine ina shida kuliko hawa.
Shida yao ipo kwenye ttcl mobile. Mamaaaaaaaaa gharama zinatisha. Lakini broadband uko utafurahia. Fast and cheap.
Hizo shida unaziziona ni za kawaida ndo zinawaondoa kuwa reliable kaka.Wrong. They are reliable. Nimewatumia tangu 2006 na sija regret. Shida zao ni za kawaida tu tena naona mitandao mingine ina shida kuliko hawa.
Shida yao ipo kwenye ttcl mobile. Mamaaaaaaaaa gharama zinatisha. Lakini broadband uko utafurahia. Fast and cheap.
wrong. they are reliable. Nimewatumia tangu 2006 na sija regret. shida zao ni za kawaida tu tena naona mitandao mingine ina shida kuliko hawa.
Shida yao ipo kwenye ttcl mobile. Mamaaaaaaaaa gharama zinatisha. Lakini broadband uko utafurahia. Fast and cheap.
Hizo shida unaziziona ni za kawaida ndo zinawaondoa kuwa reliable kaka.
Njoo zain ufaid huduma ya mtandao karibu na bure
Acha usanii Msanii. TTCL ni wazuri hasa ukichukua broadband 2gb (Tsh 30 thousand) au hata 4gb (Tsh 60 thousand) kwa mwezi. Gharama zao ni nafuu sana; na speed yao utaifurahia.
Jaribu UhuruOne for just 40,000 shillings per month you get unlimited internet services.
www.uhuruone.com[/QUONgoja niingie kwenye web yao
Hawa jamaa speed yao iko slow sana, nilitumia kwa mwezi mmoja tu nikakimbia.. Pia wanapatikana katikati ya jiji pekee , ila kwa sasa nasikia wamefika Mwenge.Jaribu UhuruOne for just 40,000 shillings per month you get unlimited internet services.
www.uhuruone.com