zantel wapo slow sana kwa speed
ZANTEL is the end of the story... and the second is TTCL... unajua challenge ya kutumia mobile devices ni capacity ya minara na wala sio pipe la kwenda kwenye internet... ndio maana TTCL anapiga bao... kwa sababu coper is the proper last mile solution for accomodation of high capacity.
thanks finest... hii ndio hoja; we pay for services halafu tunaweka allowances za shida za kawaidattcl are just useless. Hakuna shida za kawaida i am paying my money halafu unaniambia shida za kawaida
unajuaje speed ya kutosha au isiyo ya kutosha?zantel wana speed ya kutosha labda kama inategemeana na location
marketing officer at work... LOLZantel modem zimeisha (nilitaka kununua trh 27 Nov. pale karibu na ubalozi wa marekani), naona demand imekuwa kubwa walivyoshusha bei kuliko walivyotarajia.. Kuleta tena wamesema LABDA December. Naomba mtu kama ana namba za ofisi kwao ili nicheki kama kuna dalili za kupatikana hiyo December.
Kuna anayejua bei ya modem za zain?
<br />Kati ya makampuni haya ni wepi wenye huduma rahisi ya mawasiliano ya internet na ya uhakika?<br />
Nataka kuunganisha compyuta yangu na intanet, lakini matangazo yao ya biashara yananitia wazimu.
Zain modem 60000 tu, 2500 unapata 400mb but iko so slow.
me naona voda ndio wako fair, 1000 kwa week, 30,000 kwa mwezi, iko poa sana nilitumiaga zantel ya kwa mwezi ikaniishia kabla muda haujaisha , ila voda nikinunuaga ya mwezi basi ni mwezi kweli wala haiishi mpk mwezi upite, sasa hivi naendelea kutumia modem ya voda , ya zantel pia ninayo ila ipo tuu siitumii tena , labda kama kuna mtu anataka nimuuzie