Bongo hakuna provider anayetoa huduma ya kasi,naona mmejadili sana,Bongo kila kitu kimechakachuliwa na makampuni yanayotoa huduma za internet yanawadhulumu wateja.
Hapa Ulaya nipo na Moderm yangu speed ni 54Mbps(wireless) na 100Mbps(cable),kwa mwezi nalipa 25 Euros (50,000/-).Naangalia ligi kuu ya Uingereza online kupitia ATDHE.NET
CIAO