Zainab Abdallah: Gen Z hawana uzalendo kwasababu hawajaenda Jeshi, wapelekwe

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966

Mbunge wa Viti Maalum, Zainab Abdallah akichangia hoja kwenye Wizara ya Elimu ameshauri Wizara ya Elimu kushirikiana na Jeshi la Kujenga Taifa JKT kuwapeleka vijana wa kizazi cha Gen Z kwenye mafunzo ya ukakamavu na uzalendo ili kuwajenga kuwa wazalendo wenye uwezo wa kulipigania taifa.

Zainab amesema hayo wakati akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka wa fedha 2026/27, ambapo matumizi ya Kifaransa na Kiarabu yalimfanya Mbunge wa Hai, Saashisha Mafue aombe kutoa taarifa na kumtaka Zainab aelezee maana za alichokisema na Zainab akaelezea.

Katika hatua nyingine Zainab amesema asilimia kubwa ya Gen Z hawana uzalendo wala Utaifa hivyo ipo haja kubwa ya Vijana hao kupata mafunzo ya ukakamavu na uzalendo Jeshini ili wanapotoka kurudi uraiani waweze kuwa na uzalendo wa kulipambania taifa lao.
 
Kumpeleka kijana JKT wakati hana ajira, hana mtaji, na gharama za maisha zinapanda kila kukicha ni kumfundisha mbinu za kijeshi mtu mwenye hasira.

Kabla ya kuwapeleka Gen Z jeshini ili wawe na uzalendo tuanze na viongozi, viongozi wetu ni wazalendo kiasi gani kwenye usimamizi wa kodi na rasilimali?
 
Huyu ndiye yule mke wa pili wa Aweso?
 
Kumpeleka kijana JKT wakati hana ajira, hana mtaji, na gharama za maisha zinapanda kila kukicha ni kumfundisha mbinu za kijeshi mtu mwenye hasira.

Kabla ya kuwapeleka Gen Z jeshini ili wawe na uzalendo tuanze na viongozi, viongozi wetu ni wazalendo kiasi gani kwenye usimamizi wa kodi na rasilimali?
Imagine kila mtu awe na mbinu za kijeshi watahitaji nguvu ya ziada uchaguzi ujao
 
Mbunge wa Viti Maalum, Zainab Abdallah akichangia hoja kwenye Wizara ya Elimu ameshauri Wizara ya Elimu kushirikiana na Jeshi la Kujenga Taifa JKT kuwapeleka vijana wa kizazi cha Gen Z kwenye mafunzo ya ukakamavu na uzalendo ili kuwajenga kuwa wazalendo wenye uwezo wa kulipigania taifa.

Zainab amesema hayo wakati akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka wa fedha 2026/27, ambapo matumizi ya Kifaransa na Kiarabu yalimfanya Mbunge wa Hai, Saashisha Mafue aombe kutoa taarifa na kumtaka Zainab aelezee maana za alichokisema na Zainab akaelezea.

Katika hatua nyingine Zainab amesema asilimia kubwa ya Gen Z hawana uzalendo wala Utaifa hivyo ipo haja kubwa ya Vijana hao kupata mafunzo ya ukakamavu na uzalendo Jeshini ili wanapotoka kurudi uraiani waweze kuwa na uzalendo wa kulipambania taifa lao.
Huyo akili yake Muflisi. Mimi sio Gen Z na sijaenda jeshini. Kwanza Jeshi gani lenye uzalendo?
Hili hili la waganga njaa.....jeshi gani? Hawa mabaka mabaka wanaonunua JENGA UZA kule Chamazi Mbagala?
 
Ungesema kuwa vijana Gen Z wa Israel, Iran, US, China, Western Europe nations, Russia wanatakiwa kwenda Jeshi Kwa lazima hapo ningekuelewa but Afrika itakuwa ni uongo maana hakuna Tija yoyote zaidi ya kumuongezea kijana njaa na laana.
 
Mbunge wa Viti Maalum, Zainab Abdallah akichangia hoja kwenye Wizara ya Elimu ameshauri Wizara ya Elimu kushirikiana na Jeshi la Kujenga Taifa JKT kuwapeleka vijana wa kizazi cha Gen Z kwenye mafunzo ya ukakamavu na uzalendo ili kuwajenga kuwa wazalendo wenye uwezo wa kulipigania taifa.

Zainab amesema hayo wakati akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka wa fedha 2026/27, ambapo matumizi ya Kifaransa na Kiarabu yalimfanya Mbunge wa Hai, Saashisha Mafue aombe kutoa taarifa na kumtaka Zainab aelezee maana za alichokisema na Zainab akaelezea.

Katika hatua nyingine Zainab amesema asilimia kubwa ya Gen Z hawana uzalendo wala Utaifa hivyo ipo haja kubwa ya Vijana hao kupata mafunzo ya ukakamavu na uzalendo Jeshini ili wanapotoka kurudi uraiani waweze kuwa na uzalendo wa kulipambania taifa lao.
Hao waliopita hayo mafunzo ndio wana ongoza kwa kuwa sio wazalendo ukishakuwa ccm=mjinga.
 
Ubunge wenyewe kapewa kwa kitanda maalumu hawezi ongea na sisi huyo🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮

Matakataka kabisa
 
Back
Top Bottom