Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Imagine kila mtu awe na mbinu za kijeshi watahitaji nguvu ya ziada uchaguzi ujaoKumpeleka kijana JKT wakati hana ajira, hana mtaji, na gharama za maisha zinapanda kila kukicha ni kumfundisha mbinu za kijeshi mtu mwenye hasira.
Kabla ya kuwapeleka Gen Z jeshini ili wawe na uzalendo tuanze na viongozi, viongozi wetu ni wazalendo kiasi gani kwenye usimamizi wa kodi na rasilimali?
Acha wajichanganye.Imagine kila mtu awe na mbinu za kijeshi watahitaji nguvu ya ziada uchaguzi ujao
Huyo akili yake Muflisi. Mimi sio Gen Z na sijaenda jeshini. Kwanza Jeshi gani lenye uzalendo?
Mbunge wa Viti Maalum, Zainab Abdallah akichangia hoja kwenye Wizara ya Elimu ameshauri Wizara ya Elimu kushirikiana na Jeshi la Kujenga Taifa JKT kuwapeleka vijana wa kizazi cha Gen Z kwenye mafunzo ya ukakamavu na uzalendo ili kuwajenga kuwa wazalendo wenye uwezo wa kulipigania taifa.
Zainab amesema hayo wakati akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka wa fedha 2026/27, ambapo matumizi ya Kifaransa na Kiarabu yalimfanya Mbunge wa Hai, Saashisha Mafue aombe kutoa taarifa na kumtaka Zainab aelezee maana za alichokisema na Zainab akaelezea.
Katika hatua nyingine Zainab amesema asilimia kubwa ya Gen Z hawana uzalendo wala Utaifa hivyo ipo haja kubwa ya Vijana hao kupata mafunzo ya ukakamavu na uzalendo Jeshini ili wanapotoka kurudi uraiani waweze kuwa na uzalendo wa kulipambania taifa lao.
Hao waliopita hayo mafunzo ndio wana ongoza kwa kuwa sio wazalendo ukishakuwa ccm=mjinga.