GE2025 Zainabu: Rais Samia amedumisha Amani na Nchi ina maendeleo

GE2025 Zainabu: Rais Samia amedumisha Amani na Nchi ina maendeleo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Mgombea Ubunge wa Viti maalumu akiwakilisha kundi la Vijana Zainabu Abdallah amesema kuwa watanzania wanataka vitu viwili pekee ambavyo ni Amani na Maendeleo na Kueleza kuwa Dkt. Samia ameweza kudumisha Amani nchini na Nchi Ina maendeleo hivyo kuwataka wananchi Oktoba 29 kwenda kupiga Kura.

 
Back
Top Bottom