ZaiyLissa anaweweseka na penzi la Mingoclassic mwaka huu kitawaka moto kati yake na Luludiva

ZaiyLissa anaweweseka na penzi la Mingoclassic mwaka huu kitawaka moto kati yake na Luludiva

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Aliyewahi kuwa mpenzi wa dulla makabila ,ZaiyLissa bado anaweweseka na penzi la aliyewahi kuwa mpenzi anayekulikana kama Mingoclassic.

Tangu awali wengi tulishajua Zai na Dulla hawatadumu yani ilikuwa suala la muda tu ndio maana hata ndoa yao kuvunjika ndani ya siku 45 tu haikutushtua sana na wala suala la Zai kufuta picha zao zote walizowahi kupiga haikuwa pia haikutushtua hata kidogo .

Sasa unaambiwa Zai hapindui hata kidogo kwa aliyewahi kuwa photographer wa msanii Juma Jux aitwae Mingoclassic ambaye kwa sasa amegeukia muziki na kuachana kabisa na mambo ya kupiga picha.

Zai yeye ndiye alikuwa anamuhonga Mingoclassic kwa hiyo hata walipoachana yeye ndiye alikuwa anaumia na mpaka sasa bado anaumia anatafuta kila namna kurudi kwa Mingo ila anagonga mwamba.

Mingo kwa sasa amezama penzini na Luludiva japo eti wenyewe wanafanya mapenzi yao yawe siri 😂😂😂😂😂😂😂😂

Sasa unaambiwa kama ilivyokuwa kwa Zai, Luludiva naye hasikii haambiliki kwa Mingo ,yupo tayari kutoa chochote kumpa Mingo ila sio kuachana naye.

Sasa jambo hili linamuumiza sana Zai na sitashangaa huko mbeleni wawili hawa kugombana.

Ngoja inyeshe tutajua tu panapovuja.

Alamsiki.

2125054284-jpg.2799471





1144898384.jpg
Luludiva

-1956126088.jpg

Zai
 

Attachments

  • 2125054284.jpg
    2125054284.jpg
    124.8 KB · Views: 29
aisee.... mwana atakuwa mkazaji kwelikweli... maana madanga wa mjini hawawezi kukupenda wakati huna hela, sasa wanadanga kwa maboss hela wanaleta kwa mwamba,,, yeye kauli mbiu yake ni ile ile PELEKA MOTO,
acha aendelee kuchakata hyo mishangazi af mwisho wa siku anaoa katoto number E
 
Mbona tulisikia Lulu diva kaolewa na jamaa mtangazaji wa michezo Clouds?
 
Mbona huyo Zainabu amejichubua mnoo??
Hivi hawa,si nilisikia wana ngoma...ila,maisha ya watu maarufu wa Daslamu yanashangaza...
 
Back
Top Bottom