NCCR Mageuzi
Member
- Oct 3, 2007
- 23
- 63
Chama cha NCCR-Mageuzi kinafanya uzinduzi wa kampeni pamoja na Ilani ya chama hii leo Septemba 05, 2020 kwenye Viwanja vya Zakheim, Mbagala jijini Dar es salaam. Viongozi mbalimbali akiwemo mwenyekiti wa chama ndugu James Francis Mbatia pamoja na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia NCCR-Mageuzi ndugu Yeremia Kulwa Maganja, mgombea mwenza ndugu Haji Ambar Khamis, wagombea Ubunge wa Dar es Salaam na viongozi wengine wamefika kwenye viwanja vya Zakheim.