NCCR Mageuzi
Member
- Oct 3, 2007
- 23
- 63
WAlirubuniwa na JIWE , wawe chama kikuu cha upinzani chenye wabunge 15 na CHADEMA kiwe na mbunge mmoja tu, Mwambe, sasa wanaula wa chuya.Chama cha NCCR-Mageuzi kinafanya uzinduzi wa kampeni pamoja na Ilani ya chama hii leo Septemba 05, 2020 kwenye Viwanja vya Zakheim, Mbagala jijini Dar es salaam. Viongozi mbalimbali akiwemo mwenyekiti wa chama ndugu James Francis Mbatia pamoja na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia NCCR-Mageuzi ndugu Yeremia Kulwa Maganja, mgombea mwenza ndugu Haji Ambar Khamis, wagombea Ubunge wa Dar es Salaam na viongozi wengine wamefika kwenye viwanja vya Zakheim.
View attachment 1559446
View attachment 1559447
View attachment 1559452
Upo mɓagala zakheim ???NCCR wamehudhuria watu wengi kuliko mkutano wa uzinduzi wa Chadema
Nimeamini Chadema 2015 ilibebwa na UKAWA tu hakuwa na nguvu Dar
TBC live angaliaUpo mɓagala zakheim ???
Ndio hapo ila huo uwanja umeharibiwa na ccm, wameweka soko lipya hapo, wameweka stendi ya mikwambe, vikunai na Mgeni Nani.Upo mɓagala zakheim ???
Maganja hawezi kufikisha kura 10k nchi hiiChama cha NCCR-Mageuzi kinafanya uzinduzi wa kampeni pamoja na Ilani ya chama hii leo Septemba 05, 2020 kwenye Viwanja vya Zakheim, Mbagala jijini Dar es salaam. Viongozi mbalimbali akiwemo mwenyekiti wa chama ndugu James Francis Mbatia pamoja na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia NCCR-Mageuzi ndugu Yeremia Kulwa Maganja, mgombea mwenza ndugu Haji Ambar Khamis, wagombea Ubunge wa Dar es Salaam na viongozi wengine wamefika kwenye viwanja vya Zakheim.
View attachment 1559446
View attachment 1559447
View attachment 1559452
Mziki umeanza KinyunguChama cha NCCR-Mageuzi kinafanya uzinduzi wa kampeni pamoja na Ilani ya chama hii leo Septemba 05, 2020 kwenye Viwanja vya Zakheim, Mbagala jijini Dar es salaam. Viongozi mbalimbali akiwemo mwenyekiti wa chama ndugu James Francis Mbatia pamoja na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia NCCR-Mageuzi ndugu Yeremia Kulwa Maganja, mgombea mwenza ndugu Haji Ambar Khamis, wagombea Ubunge wa Dar es Salaam na viongozi wengine wamefika kwenye viwanja vya Zakheim.
View attachment 1559446
View attachment 1559447
View attachment 1559452
Baada ya kufuatilia wilaya 20 za mikoa ya Nyanda za Juu, sasa umehamia Dar 😁. Kazi unayo!NCCR wamehudhuria watu wengi kuliko mkutano wa uzinduzi wa Chadema
Nimeamini Chadema 2015 ilibebwa na UKAWA tu hakuwa na nguvu Dar
Nami pia naangaliaTBC live angalia
Angalia idadi ya watu.Chadema ndio hakuna chake mbagalaNCCR kwishnei kabisa